fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,480
- 8,033
Hizo ni alinacha tu,tena ni vitabu vimeandikwa na wanaume.Kwanini mwanaume ndio awe anaambiwa aishi na mwanamke kwa akili?Kwani kuishi na kiumbe kwa akili kunamaanisha kwamba hicho kiumbe ni adui yako? Plus, kama angetaka pawepo uadui, asingeshauri TUISHI nao, bali TUWAKIMBIE kama tunavyoshauriwa kuikimbia dhambi. Alipokuwa anamlaani nyoka alisema nitaweka uadui, na sijawahi ona anywhere tunashauriwa kuishi na nyoka kwa akili. Kumbuka, maagizo ya namna ya kuiendesha bustani alipewa Adam (mwanaume). Shetani kwa werevu wake akaingilia kwa mwanamke, then mwanamke akamshawishi Adam nae alile tunda lililokatazwa(kwa tafsiri yoyote ya tunda unayoifahamu). Mwenyezi Mungu anajua jinsi mwanaume alivyo boflo mbele ya vishawishi vya mdada, ndo akashauri tuishi nao kwa akili.
Limbwata at workWanaume wengi sana,tuna dhana kwamba mke ni adui na mara nyingi tunatumua vitabu vya dini eti vinasema tukae na wanawwke kwa akili,kweli? Huyu Mungu ambae ndio aliowaumba anaweza kuwatengeneza wanawake wawe maadui kwa wanaume? No sio kweli,hivyo vitabu vya dini hizo aya za hivyo zimeandikwa na wanaume kwa maslahi ya wanaume.Ewe mwanaume mwenzangu,mkeo ndio rafiki yako mkubwa,ndio mwandani wako,mpende,mpe raha,mpe kila aina ya usaidizi
😂😂😂jamaniView attachment 2869283
Wanawake waache dharau
Ulobwike😂😂😂jamani
Kyala asajighwe...hope umelobhoka poa piaUlobwike
KATAA NDOAEwe mwanaume mwenzangu,mkeo ndio rafiki yako mkubwa,ndio mwandani wako,mpende,mpe raha,mpe kila aina ya usaidizi
Mke siyo adui?? Kwahiyo unataka kusema mke ni ndugu yako?
Mbona anakuita honey lkn kiksanuka anakuita mbwa?
Mbona anakupeti peti leo ukiwa na afya nzuri, kipato kizuri na cheo kizuri lkn ukiugua, ukafilisika ama kushushwa cheo anakukimbia? Mke siyo ndugu yako.
Wew bado mtoto mdogo, hujayajua mengi.Wanaume wengi sana,tuna dhana kwamba mke ni adui na mara nyingi tunatumua vitabu vya dini eti vinasema tukae na wanawwke kwa akili,kweli? Huyu Mungu ambae ndio aliowaumba anaweza kuwatengeneza wanawake wawe maadui kwa wanaume? No sio kweli,hivyo vitabu vya dini hizo aya za hivyo zimeandikwa na wanaume kwa maslahi ya wanaume.Ewe mwanaume mwenzangu,mkeo ndio rafiki yako mkubwa,ndio mwandani wako,mpende,mpe raha,mpe kila aina ya usaidizi
mimi nina 64 yrs rafiki na ndoa ya miaka 34Wew bado mtoto mdogo, hujayajua mengi.