Mkeo anakwamba *Baby mgeni anakuita*

Mkeo anakwamba *Baby mgeni anakuita*

Joined
Sep 3, 2011
Posts
48
Reaction score
17
Piga picha Mgeni kaja nyumbani kwako wewe ukiwa chumbani . Pengine mgeni huyu ni mtoto wa shangazi yako, mdogo wako kwa kifupi.

Mke anakuja chumbani anakwambia Baby Juma anakuita, tuchukulie mgeni anaitwa Juma.

Kuna tatizo lolote mkeo akitumia njia hii kukutaarifu kuwa kuna mgeni angependa kuongea na wewe ?

Kuna chembe chembe zozote za uvunjifu wa adabu kwenye hii kauli ? Baby Juma anakuita
 
Yan Kama Hii sentence ndo ingekuw kwenye mtihani naimani ningefeli tu maana sijaelewa kabisa uvunjifu unaohisi upo kwenye neno baby au anakuita anyway Nimewahi mbele ngoja niwasikilize wajao
 
Kwa sisi wataalum tunaangalia body language wakati anatoa kauli hiyo na pia sauti yake itakuwa ina sound vipi..
Kauli haijakaa kitatanishi ila itakavyotolewa ndo itajulisha..

Kuna wanawake wengine unaweza usitamani hata kwenda kwa huyo juma maana jicho tu alivyorembua na sauti ilivyotoka kimahaba unaona huyo juma ni nini..? Ni nani..? Hadi nikamuone na niliache tunda hili madhubuti lenye kila hali ya kutaka kuliwa😂

Kuna wale Sasa wenye visirani! Kauli ni hiyohiyo itakavyotamkwa mpaka unawaza kwani nimemfanya nini huyo juma..?😂
Mapigo ya Moyo yatakudunda mpk uombe kufukizwa ndo ukaonane na huyo juma!
Maana sio kwamba ni taarifa Bali onyo ama kalipio au lalamiko lenye hila ndani yake😂😂
 
Maneno sahihi ya kusema ili uweze kumtaarifu ni kumwambia kuwa Baby juma amekuja!

Kwaiyo mumeo apo apembue kuwa anenda kumpokea kwa kumsalimia au la!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom