Mkeo akiwa na mtoto Mchanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkeo akiwa na mtoto Mchanga

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kichwa Ngumu, Jan 16, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimewahi kusikia mkeo akiwa na mtoto mchanga hutakiwi kufanya nae tendo la ndoa, eti utamwalibu mtoto; Je, ni kwa muda gani?
  Pia ukichakachua nje ya ndoa unaweza kumwalibu mtoto;wengine wanasema, kama umechakachua nje alafu hujaoga mpaka umemshika mtoto na wengine wanasema hata kama utaoga mtoto ataharika tuu; je, hili linaukweli kiasi gani?
  JF members lets share xperience
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hizo zote imani tu mkuu.....
   
 3. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Na 2naishi kw imani vile vile ... wongo?
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh kivipi
   
 5. s

  shosti JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hamna lolote uzushi wa kizamani
   
Loading...