LENGIO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 1,096
- 508
- Thread starter
- #61
Ona wanavyochota madini yetu alafu kuna majinga sababu ya njaa wanawatetea haya madini yametoka kwenye mgodi wa familia ya Ngoo serekali haijaambulia chochoteWakenya wakati mwingine muwe waungwana
Maparachichi mnasema yote mmevuna Kenya wakati mnajua wazi ni Tz Product (best)
Korosho Mbao mnasema zinavunwa Kenya mnapeleka India China Europe
Tanzanite ndio usiseme mpaka uwaulize wazungu huko kwenye maduka yao ya Vito kama wanayo Tanzanite watakuambia ile ya Kenya ndipo unapoocha mdomo wazi Tanzanite na Kenya wapi na wapi! Unawapa elimu kuwa Tanzanite ni mali ya Tanzania they connect the dots ndio unasikia oh tulijua inachimbwa Kenya unawaambia ingeitwa Kenyanite!
Wa kulaumiwa ni serikali ya sisiemu period!