😆😆😆 Utumishi sasa ivi wamekuwa wazushiWale vijana waliokuwa wanasubiria kwa hamu interview ya utumishi sasa wajiandae kukabiliana na mtiani Machi 5 na 6
Ingawa watu wameenguliwa sana kwa vigezo vya ajabu ajabu ila pia nyomi ya watu itakuwa kubwa
Mfano mtu aliweza kuudhuria interview za utumishi zaidi ya tatu ila leo ameonekana Hana kigezo . Not shortlisted academic certificates not certified by advocate sasa hapa inakuaje leo hana kigezo waKati interview za nyuma alikuwa selected ..maajabu Sana [emoji38]
Wale vijana waliokuwa wanasubiria kwa hamu interview ya utumishi sasa wajiandae kukabiliana na mtiani Machi 5 na 6
Ingawa watu wameenguliwa sana kwa vigezo vya ajabu ajabu ila pia nyomi ya watu itakuwa kubwa
Mfano mtu aliweza kuudhuria interview za utumishi zaidi ya tatu ila leo ameonekana Hana kigezo . Not shortlisted academic certificates not certified by advocate sasa hapa inakuaje leo hana kigezo waKati interview za nyuma alikuwa selected ..maajabu Sana [emoji38]
Nipe possible mkuuhao wapuuzi wa utumishi wana watoto wao huko, ko wanaleta mambo ya ajabu, ajabu kama haya ili waweze kuwapenyeza watoto wao.
Yani lengo lao ilikuwa wawakate watu wote ili wakafanye watoto wao tuu, afu mitoto yao ni ile aina ya matoto mazezeta ambayo hata uyape possible yakae nayo mwaka mzima hayatoboi.
pia hizi kazi kuna mazezeta ya viongozi na ya wanaojuana, tiyari yalishaanza kazi kitambo yanatafuna bata tuu, wanaoenda interviews wamebakishiwa nafasi 2 au 4 ndo wanazipambania.