Nahitaji mke mtarajiwa

Nahitaji mke mtarajiwa

Habari wapendwa
Naishi Moshi
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
Ukikosa humu nenda kanisan pia huwa wapo wengi kule
 
Ni ombi langu upate mke mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom