Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
Za saa hizi?
Nina rafiki yangu ambaye nilikuwa mshenga wake. Huyu buda amekuja kwangu na kuniomba maoni kwa kuwa mke wake wa ndoa amemwambia aoe mke wa pili!
Nilimdadisi kujua kisa na sababu ya mke wake kumwambia hivyo lakini aliniambia kwamba hata yeye mwenyewe hajui, na akiuliza aambiwi.
Sasa nimeshindwa,
1. Wanawake walivyo na wivu, kweli mwanamke anaweza kuomba aolewe mke mwenza?
2. Ni sababu gani ya kueleweka inayoweza kufanya mwanamke aombe msaidizi?
3. Na akiolewa, wanaweza kuishi kwa amani kweli?
Nitoeni taka sababu jamaa bado sijampatia maoni yangu.