Mke wangu usiku wa jana nusura aniue, angenipa kilema

Duu halafu hata kama ungekufa hainaga ushahidi sana anaweza kusema ukikuwa na presha tu umekufa
Hahahaha hamna unaelewa maana ya body forensics? Ingejulikana tu kwani ni mwili wote unapimwa, wangegundua kuwa korodani ziliminywa. Mbona rahisi mnooo...
 
Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.

Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".

Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.

Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.

Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.

Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.

Ahsanteni nawasilisha.
Alitaka amng'oe bwana Kambupu? Pole Sana
 
Huyo sio mwanamke ni muuaji anabana Kmmk
 
Pole sana, Vp mashine inafanya kazi lakini?
 
Mwanamke anae fight back pindi mkikosana ni mbaya sana, na hasa uoe mwanamke alie pitia majeshini huko uwe tayari kwa lolote, wana roho ngumu sana.Na ukikorofishana na mkeo ukawa haujajisitiri muombe radhi tu, huwa wanauwezo wa kuning'inia kwenye hizo kengere
 
Back
Top Bottom