Mke wangu simuelewi

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,205
Wakuu,
yani shem wenu nikianza J3 kazini mpka Ijumaa nikirud toka ofisini anataka gemu..hua ananiachaga wikiend tu kwa vile hua nashindaga nae nyumbani..mpaka sasa sielewi ni kua haniamini au ni nini..na mimi sijawahi kufikiria kumsaliti mke wangu ata siku 1
 
kwaiyo unataka msaada gani? maana hujasema unataka kusaidiwa nini...... ebu kuwa mtu mzima wewe fyuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
 
haahahhaha anataka uzeeeke haraka aponde raha na wenzio. Mwanaume kufanya sex sana ni kujiumiza na kupunguza urefu wa maisha wala si heshima, mwanamke haridhishwi wana demands nyingi ambazo huwezi ukazi fullfill zingine ziko nje ya uwzo wako kabisa.
 
You married a house wife what did you expect? Keep her busy, mtafutie kazi.
 
Kwahiyo tukuombee msamaha au vp?
 
hutaki kutimiza wajibu wako?
 
asipokupa, shida,anataka kila siku shida,ss unatakaje?
..wkend c unapumzika?shida nn?
..na unataka amuombe nani?asipokuomba utarudi hapa unalia,humuelewi
 
Mtafutie kazi yoyote,
na kama uko bongo
hakikisha unamtafutia mitaa ya posta
uone kama atakuwa hata na hamu ya hiyo kitu.
 
Hakuamini. Anajua unataka daily sbb hujamwambia hupendi. Anakumaiza ili usiende nje(defense)
 
KhA!!! Sasa unatakajeeee??? Au ndo unajisifia hapo kuwa kaz unaiweza? Utakufa wewe shauri yako!


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
sasa hap6 humuelewi kwa lipi? Tofautsha mama na mke....anavyovpata hapo kwako hata kwao vlikuwepo. Jiulze kaja kwako kutafuta nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…