mke wangu si muelewi


umenena vema.asante
 

sawa sawa
 

ya siasa ktk jukwa lake pia s sahihi kuyazungumzia na maana nzima ya foroum inakuwa haipo kama unadhani kila jambo linafanywa kwa unavyoongelea.
sema jambo kama huna pita utoto na ukubwa si sehemu y ww kuchagua kuchangia
 
KUWA MVUMILIVU mkalishe chini mwenzio na muongee pamoja kujua kuna shida gani,wewe ni kichwa cha familia
 
Zingatia yooote aliyoandika Somoe.
 
Last edited by a moderator:
usione so sema naye kuhusu mapenzi yenu mbona mtoto kayatia dosari? ila ni mazoea yaliyojenga tabia ya wanawake wengi
 
Hapa kuna mtu ananyimwa CHAKULA YA MTOTO!!!!
 
hapo ndio utaona sababu ya kufikiri kabla ya kutenda cuz kwa maelezo yako u cmc 2 be ulikurupuka kuoa bila kufikilia the prox nd cons of marriage. tink b4 u act
 
Mpende sana mtoto, nawe uone upendo utakavyorudi.
 

Mvumilie tu. itapita mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…