Mke wangu rudi nyumbani hali yangu mbaya

Amerudi kwao au amekwenda kuishi na mwanaume mwingine kwenye mrejesho wako
mwanzo alivyo ondoka mie nikajua amerudi kwao, kumbe kaenda kwa huyo jamaa, kwao nimewapa taarifa juu ya hili wakaniomba msamaha.
 
mkuu namba zake zote kabadilisha, angekua yupo hewani ningemuomba msamaha kwenye simu. i hope ataisoma hii thread
sa umuombe msamaha vile kakutukana matusi ya nguoni au?! be a man kijana na unavyom’misia mbona hata beki 3 anaweza fanya
 
Back
Top Bottom