Mke wangu pasua kichwa

Huyo haendi kwa mama, unajisifia mwenyewe unampa dozi kumbe huna lolote. Anataka kuipeleka kwa basha wake anaona wewe unacheza tu...
 
Labda kuna MTU anakusaidia kwenye 0713......
Chunguza ukikuta hivyo timua sikushauri siyo mke huyo
 
Mkuu mkeo anavaa Nepi? Inaonekana umeowa katoto ambacho bado kinanyonya maziwa ya mama.[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji111]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
we baba love si ndio juzi kati ulileta uzi kuwa mkeo analalamika una kibamia na ukawa unaomba dawa ya kibamia, Nashangaa tena kuona uzi ukidai huwa unampa dozi za maana ila anapenda kwenda kwa mama, Inshort huwa anaenda kuliwa( though t may not b)
 
Mwambie achague moja akikaa kwako hakuna habari za mama akienda kwa mama yake asije kwako maisha, kuwa na maamuzi magumu shuba the meet wewe [emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
 
vumilia mkuu, ndoa ndivyo ilivyo

pole baba loveness
 
Huyo Baba lavuu kama ni kweli hizi mambo zinamtokea, Leo sijui analalaje
 


Ukiona hivyo basi juwa kuwa hana tena hamu na wewe na anakuona kama vile katuni tu. Mwache mtoto wa watu arudi kwao.
 
Dah vijana wa siku hizi kazi kweli ndiyo maana ndoa hazidumu kama za wahenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…