kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Kama kzini tu na hakuna magonjwa aliyoleta namsihi akae naye amuonye akirudia tena achukue hatuaWanaume wa Dar mnalilia? mbona ninyi. Ni wasaliti wakubwa na tunawavumilia? acheni utoto. Umekaa ukamuonya?
ON TOP OF ITNdiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
Miezi seven hata ka mimba hakuna? Utakuwa na matatizo wewe!
Movie na tamthilia zinawaaribu vijana... Na vile vi-story vya happy endings. Unataka kuoa, af unatafuta mpenzi. Badala utafute yule ambaye anaweza akawa wife, a mother to your children and a woman you can live with. Mapenzi ni km njaa, yanaisha. Kinachobaki ni maamuzi ya kuheshimu uhusiano.Ni wanaume tu pekee watakuelewa hapa, wavulana hawatoelewa chcht
Tena hakikisha unamfariji vizuri mpaka asahau tukio[emoji108]wee njoo nikufariji wewe muache mama alishakuzaa inatosha