Mke wangu nimemtimua leo

Wewe Kwanzaa Ni fuska ndo maana umechukua maamuzi ya haraka
Kuchapiwa kupo tu hakuepukiki. Unavowala wa wenzio kumbe inauma ee. Afu nikuulize Mama yako atakupa pampuchi? Acha laana wewe.. Huyo mwanamke angekukamata wewe angekuacha? Umejichunguza mapungufu yako had akusaliti? Si ajabu humridhishi unamalizia huko kwingne Afu unakurupuka kumuacha utajuta. Afu sema umeamua kuwa malaya muhuni usieelewwka we ulidhani changamoto za ndoa Ni hizo tu. Tena umgemsamehe kumkamata kuliko kuja kujua umelea watoto wasiowako ukiwa unamiaka sabin. Kila la kheri kuurudia ukapera
 
Bora ulivyomuacha, inaelekea kavumilia mengi sana toka kwako!
Hukuwa mume bora kabisa wewe, unathubutu kujitapa kwa masimulizi juu ya wema uliomfanyia mkeo? Kakusaliti sawa unahaki ya kufanya maamuzi, nini kinakusukuma kutaja mapungufu aliyokuwa nayo? Kama wewe ndiye mume ulitaka nani amfundishe hayo unayoyasimulia hapa?
 
Duuu hii mpyaa..Mama hawezi kukupa Yale mambo mengine..Tuliza Munkariii utapata Shem.mpyaaaa
 
Mkuu kuna mambo mengine mama yako anakufariji vp?emvu acha mambo ya ajabu
Nachelea ku-Mkapa huyu jamaa asijesema ooh umenitusi...

Yaani umfanyie jambo mwanamke kisha uanze kumtangaza kisa, kakusaliti?
Ooh nahamishia mapenzi kwa mamaangu, halafu babaako akahamishie kwa nani??
 
VP we demu nini? Maaana ulichoongea hapa ni utumbo wa mbuzi na firigisi za kuku ambazo ni dili uswazi kwetu huku.point kama hz huwezi kutoa ukiwa masaki mlimani cty HV coz mapenzi ni nin?
 
Ulimfundisha kupanda ndege kwani ww ni mhudumu wa kwenye ndege?
 
Mama anakufariji vipi we kijana? Mama ana nafasi yake kwako, lakini hakuna mtu anaweza kuchukua nafasi ya ubavu wako. Utaishia kulia upweke tu.!!
 
Nachelea ku-Mkapa huyu jamaa asijesema ooh umenitusi...

Yaani umfanyie jambo mwanamke kisha uanze kumtangaza kisa, kakusaliti?
Ooh nahamishia mapenzi kwa mamaangu, halafu babaako akahamishie kwa nani??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…