Mkuu mke matunzo,usipoangalia utaendelea kuwapenda wake wa rafiki zako wanaotunzwa vizuri na rafiki zako!Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.

aaaah aaaah aaah aaah acha nicheke kwanza ....eti ulimpenda sasa umemchoka...!!! na huyo wa rafiki yako umempenda alafu baadaye utamchoka??? alafu utakuja kwa mke wangu utampenda alafu utamchoka...?? acha ujinga mwanamke matunzo wewe mkuuWana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.
Mke wangu ni mpole na mtaratibu sana. Pia ni mwaminifu ila tatizo ni kwamba hana tena ule mvuto aliokuwa nao awali wa kimapenzi. Hanivutii tena.Basi haina shida kabisa maana na mke wako alishaona huna mvuto anatembea na mume wa rafiki yake,how do you see that