Mke wangu nimemchoka, nimeanza kutembea na mke wa rafiki yangu

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.
 
Mkuu mke matunzo,usipoangalia utaendelea kuwapenda wake wa rafiki zako wanaotunzwa vizuri na rafiki zako!
 
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.

Kuanzisha uhusiano na mke wa rafiki yako ni hatari zaidi. Mara ya mwisho kwenda nyumba ya ibada ilikuwa lini?
 
Wewe ndio sababu ya asiwe na Mvuto tena maana inaonekana ulivyo kuwa una mjali mwanzo na kumpenda haufanyi tena!

Na kuhakikishia hata huyo utamchoka pia sema sababu hayuko kwenye imaya yako!

Pia umempenda huyo mke wa mtu maana hata haumtunzi wewe na unaonekana unaogopa kutunza! Jiulize kwa nini huyo wa rafiki yako ana kuvutia? Bila shaka rafikiyo ana jua kutunza mke wake, kwa nini na wewe usiige mfano huo?

Mke wa mtu ni sumu!
Alaf hujui maana ya rafiki!
Ukweli lazima usemwe hata kama nimchungu!
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.
 
Lol, bora hata ungesema unazini na housegirl. Hivi unawezaje kutembea na mke wa rafiki yako? Dhamiri haikusuti? Mkikutana na rafiki yako huwa unajisikiaje? Naweza kufanya makosa kama binadamu, nikatembea na mke wa mtu lakini hata angakuwa mzuri kiasi gani, sitatembea wala kumtongoza mke wa rafiki yangu au mtu ninayemfahamu.
 
Mkuu we ni mtu mzma na unajua kwamba kuishi na mtu mda mrefu, kupata watoto(ambao ni blessings) na kukosa matunzo(sahihi) huweza kumfanya mtu akose mvuto na kuna taratibu maalum kama mazoezi,mavazi na psychological therapies ambazo huweza kurudisha huo 'mvuto' (?).

Ila najua 2thngs;
1) Ctajickia vizuri mke wangu akiniambia cna mvuto hata kama nikioa mwingine it wll still bug me

2)Mkeo alikubali kukuzalia watoto ndo maana akawa hivyo alivyo luckily 4u ss hvi kuna ladies ambao hawataki kuzaa ili kumaitain huo mvuto. So labda take a chance on them.
 
kwa nini mke wa rafiki yako? si ungetafuta mwanamke mwingine[japokuwa sikubaliani ni vitendo vyako] au unakimbia majukumu
 
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.
aaaah aaaah aaah aaah acha nicheke kwanza ....eti ulimpenda sasa umemchoka...!!! na huyo wa rafiki yako umempenda alafu baadaye utamchoka??? alafu utakuja kwa mke wangu utampenda alafu utamchoka...?? acha ujinga mwanamke matunzo wewe mkuu
 
Usiwe na haraka bana subiri kwanza ugandane na mke wa rafiki yako ndo utamuona mkeo ana mvuto
 
Muombe rafiki yako m'badilishane. By the way mbona kama unaona kutembea na mke wa rafiki yako ni sifa.
 
Kwanza mkuu umeonyesha jinci gani ulivyokuwa selfish..! Yaani its about u.. Wajifikiria wewe.. Umemchoka wewe.. hana mvuto kwako.. Yaani mkuu mpaka hapo ni wewe uliesababisha hiyo hali kwa asilimia 85..! Jee.. yale mambo mliokuwa mnayafanya zamani kabla ya ndoa na wakati ndoa bado ya moto bado mnafanya..? Au baada ya kumweka ndani ndio ukampa "heshima" na kuacha kufanya uchizi uliokuwa mnaufanya wote..? Hujui uchizi ule ni part ya mahaba yalikuwa yanawaleta karibu..? Au baada ya kumzalisha ukaacha kumuangalia kama mwanamke na mpenzi.. ukaanza kumuangalia kama mama wa watoto wako..? Labda uvaaji wake.. au maziwa yameacha kuwa ya saa sita tena.. Au pengine yuko busy na watoto kiaci umehici amepunguza mahaba kwako..! Hudhani hayo yote ndo yaliopelekea kuzima ile passion mliokuwa nayo..? Yeye nae amehucika japo kwa acilimia ndogo kwa hilo but wewe ukiwa ni mwanaume.. ulitakiwa utoe muongozo.. Jee.. umewahi kuongea nae kuhusu sex..? kama ilivyokuwa zamani ni kama sasa..? Anafurahia..? Umemuambia kama wewe hufurahii..?
Hujachelewa sana.. Zungumza na mwenzio.. Mna familia tayari ucitafute justification ya kuvunja nyumba..!
 
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.

Shetani@full.operation. Rafiki yako naye ameanzisha uhusiano na mkeo. Akimchoka ataanzisha na wewe
 
Basi haina shida kabisa maana na mke wako alishaona huna mvuto anatembea na mume wa rafiki yake,how do you see that
Mke wangu ni mpole na mtaratibu sana. Pia ni mwaminifu ila tatizo ni kwamba hana tena ule mvuto aliokuwa nao awali wa kimapenzi. Hanivutii tena.
 
Kwanza, jiulize ni kitu gani ulichompendea zamini hizo.
Pili, jaribu kutathimini ni nani hasa aliyosababisha mpaka kitu hicho kikabadilika au kupoteza mvuto wake.
Tatu, Huenda kitu ulichompendea zamani kilikua kinauwezo mkubwa wa kubadilika.
mfano chuchu au sura

Jaribu kutafakari kwa huyo uliyenaye sasa, je hicho ulichompendea ni nini?
Ucje ukampata shida na kuanza kubadili wanawake kama Nguo
na mwisho wa yote ukajabaki mtupu au kukutana na anayejua kuchuna,
akabeba vitu vyote na kusepa zake huku wewe ukiwa unatanga tanga na maisha.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom