Mke wangu nimemchoka, nimeanza kutembea na mke wa rafiki yangu

Mkuu mke matunzo,usipoangalia utaendelea kuwapenda wake wa rafiki zako wanaotunzwa vizuri na rafiki zako!
Mkuu sasa nimfanyie vitu gani ili ule mvuto wake wa awali uliosababisha nikampenda urudi?
 
mmmh... Tatizo umeshainesha utovu wa nidhamu kwa kuanza kula Tamu ya mke wa mwenzio otherwise ungeweza kupata ushauri mzuri sana..
 
Kuanzisha uhusiano na mke wa rafiki yako ni hatari zaidi. Mara ya mwisho kwenda nyumba ya ibada ilikuwa lini?
kwa kweli mke wa rafiki yangu ana mvuto sana wa kimapenzi. Kwa sasa mke wangu simtamani tena. Sina hata ile hamu ya kulala nae tena. Je kanisani ndio solution?
 
wewe ulitakiwa uendelee na mapenzi yaleyale mlokuwa nayo kabla hamjaoana, umemfanya kuwa house girl mke wako? huwezi kutoka nae ukitoka wawaona wake wa wenzako warembo kuliko wakwako? je huoni kuwa umeshindwa majukumu yako? ngoja apate rafiki yako uone atakavyopendeza na akishatoka kwako ndo utaona uzuri na dhamani yake kwako.
 
Mkuu sasa nimfanyie vitu gani ili ule mvuto wake wa awali uliosababisha nikampenda urudi?

Inategemea wewe binafsi ulimpendea nini,kama ulimpendea ujana wake na sasa ameanza kuzeeka hapo sina ushauri na kama ulimpendea macho na sasa ni chongo hapo sina ushauri.Nakama ulimpenda jinsi alivyo basi endelea kumpenda jinsi alivyo!(Kitugani kimetoweka ulichompendea mkeo?je ni uzuri,ucheshi,upole,unyenyevu au utulivu?)
 
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.

Miaka 5 tu unamchoka mke? Na ingekuwa umeishi naye miaka 15 ingekuwaje?

Unahitaji msaada wa Mungu kupitia maombi....acha mara moja kutembea na mke wa mtu...!!
 
Inategemea wewe binafsi ulimpendea nini,kama ulimpendea ujana wake na sasa ameanza kuzeeka hapo sina ushauri na kama ulimpendea macho na sasa ni chongo hapo sina ushauri.Nakama ulimpenda jinsi alivyo basi endelea kumpenda jinsi alivyo!(Kitugani kimetoweka ulichompendea mkeo?je ni uzuri,ucheshi,upole,unyenyevu au utulivu?)
Ameipoteza ile nuru yake ya awali kuanzia usoni hadi chuchu zake. Pia makalio yake hayana mvuto tena!
 
Miaka 5 tu unamchoka mke? Na ingekuwa umeishi naye miaka 15 ingekuwaje?

Unahitaji msaada wa Mungu kupitia maombi....acha mara moja kutembea na mke wa mtu...!!
Kwa kweli mke wa rafiki yangu kaniteka kabisa kimapenzi. Mke wangu nimemkinai kabisa. Je kumuomba Mungu kutasaidia?
 
Acha utani kwenye mambo ambayo ni serious. Naomba ushauri ambao utanisaidia ili niendelee kufanya mapenzi na mke wangu.
natamani kukutusi, naogopa ban, ndio nimetoka huko! mnakera sana! hivi kwa nini hakuna jukwaa la matusi, yaani ukikutana na kitu kama hiki, unakwenda huko unam-mention huyo mtu, unamtukanaaaaaa mpaka hamu iishe! aaarrrgggghhhhhhh!
 
Ameipoteza ile nuru yake ya awali kuanzia usoni hadi chuchu zake. Pia makalio yake hayana mvuto tena!
Duh!hapo pagumu,inaonekana wewe ni lifist,mkuu utawaacha wengi ata huyu mke wa rafiki yako nakupa miaka mitatu utakuwa umeshamchoka!
 
siamini ninachokisoma!! hivi kumbe kuna kuchokana??
Ni kweli imenitokea cacilo. Nimemchoka mke wangu kimapenzi. Hana tena ule mvuto wake wa awali. Umbo lake la sasa sio impressive tena. Nifanyeje?
 
Kuanzisha uhusiano na mke wa rafiki yako ni hatari zaidi. Mara ya mwisho kwenda nyumba ya ibada ilikuwa lini?
mkuu Tigga Mumba!unaongelea jambo zuri sana!kuhusu kwenda nyumba ya ibada!!lakini mbona mkononi una bastola!!!una hudhuria nyumba ya ibada kweli!!!
 
Last edited by a moderator:
mmmh... Tatizo umeshainesha utovu wa nidhamu kwa kuanza kula Tamu ya mke wa mwenzio otherwise ungeweza kupata ushauri mzuri sana..
Nipatie tu huo ushauri mzuri mkuu. Pengine utanisaidia
 
natamani kukutusi, naogopa ban, ndio nimetoka huko! mnakera sana! hivi kwa nini hakuna jukwaa la matusi, yaani ukikutana na kitu kama hiki, unakwenda huko unam-mention huyo mtu, unamtukanaaaaaa mpaka hamu iishe! aaarrrgggghhhhhhh!
na mbaya zaidi huyu ndundu eti antuomba tumshauri aendelee kuzini!!huyu alikuwa wa kutukana tu na si kumshauri anakuja kuomba ma great thinker ushauri wa kuzini na kutelekeza famila kima husiano!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom