MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,048
- 1,102
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto wawili. Sasa nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi na mke wa rafiki yangu! Je nifanyeje ili mke wangu awe na mvuto wa kimapenzi kama zamani? Naomba ushauri wako please.