Mke wangu ni mgumba


Mmethibitishiwa hospitalini kwamba yeye ndiye mgumba?
 
Ndiyo maana dini zingine zimeruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ili kukidhi maTatizo kama hayo
Inasaidia iwapo mume ndio ana matatizo? Muwe mnaangalia na upande was pili, vipi mke akiwa hana matatizo amtafutie mume mwenza au? Wote ni binadamu, na kati yao yeyote anaweza Kuwa na matatizo ya kiafya.
 
Umeshaambiwa mke wake ni mgumba au hu amini kuwa kuna wanawake hawazai?
Soma vizuri alichoandika; Ugumba kauhalalisha yeye; hajatamka kuwa watalaam wamemweleza kuwa mkewe ni Mgumba. Kuamini sio issue; UKWELI ndio issue - kuwa wapo wanawake wasio na uwezo wa kubeba ujauzito kama ambavyo wapo wanaume wasio na uwezo wa kuwapa wanawake ujauzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…