Mke wangu ni mgumba

kalemauji

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
1,629
Reaction score
1,845
Yapata miaka mitano toka tuoane na mke wangu lakini kwa kipindi hiki chote hatujaliwa kuwa na mtoto na tumejaribu kuzunguka kwa wataalamu mbalimbali lakini imeshindikana na mimi nahitaji kuwa na mtoto wanajf naombeni maoni yenu kwa hili suala,ahsante.
 
kwani yeye ndo hataki kuwa na mtoto?
 
Nipm nikupe dawa,seriously
 
Hapo nina wasiwasi na wewe mwenyewe ukapime ,i mean mkapime wote acha mfumo dume wa kumhukumu na kuja kumtangaza humu MMU wakati hata hospitali utakapoambiwa na wewe ukapime utasitasita
 
usimsingizie mkeo huenda hata wewe una sperm count ndogo na ziko weak hivyo haziwezi kufertilize ovary

kuna mtu alikuwa na case kama yako

alienda america kupima akaambiwa yeye mwanaume ana tezi hivyo ndo lilisababisha asipate mtoto for 22 years

alifanyiwa operation tu alivyorudi bongo mkewe akapata ujauzito kwasasa ana miaka 52 ndo kapata mtoto january mwaka huu

alikuwa na fikra kama zako

kama uko fit liquidity position nenda ukafanyiwe uchunguzi nchi za watu usimlaumu mkewe
 
Itachukua muda manake mie siyo mtumiaji wa email,na pia nilihitaji unijibu kwanza maswali mawili matatu
mkuu nipe maelekezo yako kupitia email furahamasunga@gmail.com
 
Ndiyo maana dini zingine zimeruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ili kukidhi maTatizo kama hayo
 
gwajma anajua tatizo lako
 
Ndiyo maana dini zingine zimeruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ili kukidhi maTatizo kama hayo
. Na kama tatizo ni la mwanaume?? Halahala anatokea mke mjanja anayejua shida yako ni nini; anaenda kuibeba ya mwingine wewe unaishia kulea. Haya mambo suluhisho lake ni kupata ushauri wa wataalam.
 
Una uhakika gani kuwa mke wako ndo mgumba na sio wewe??
 
Nenda hospital mkacheki unaweza kuta una tatizo la low sperm count ambayo huwezi kumpa mwanamke ujauzito pole sana Mungu akujalie
 
. Na kama tatizo ni la mwanaume?? Halahala anatokea mke mjanja anayejua shida yako ni nini; anaenda kuibeba ya mwingine wewe unaishia kulea. Haya mambo suluhisho lake ni kupata ushauri wa wataalam.

Umeshaambiwa mke wake ni mgumba au hu amini kuwa kuna wanawake hawazai?
 
mlete na alale kwangu siku mbili utapata majibu ndani ya mwezi kama hutaki KAZA BUNO sawia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…