True Man11
Member
- Oct 14, 2022
- 95
- 139
amended. AsanteMurufu na muagiriwa, ndio lugha gani bro?
Ushaanza kujipata pata unataka kuleta tatizo ndani la kukuvuruga.Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka kuanzia 22 - 30, muhimu saana uwe ushaamua kuwa mke, ndoa yetu mwaka huu Mungu akijaalia, kama ni wewe au una ndugu ama rafiki basi naomba mnisaidie pia nimpate huyu mke wangu namtafuta sana kila kona!
nina miaka 36, naishi dar es salaam mrefu kiasi, umbo la kawaida (nipo kwenye profile yangu) muajiriwa na biashara pia, naishi dar. karibuni sana PM
Maisha unamfanyia nani sasa mkuu?Ushaanza kujipata pata unataka kuleta tatizo ndani la kukuvuruga.
Tembelea hata mahakamani kwenye kesi za ndoa ujifunze kitu ndio ufanye maamuzi.
Kataa ndoa ufanye maisha mzee!
hahaaaaaaaaaaaaa, sijamaanisha tak** nimesema model mwenye nyama. ππMkuu sema unataka awe na tako mbona unafichaficha......nyama ndiyo nini? Au unamaanisha awe anamiliki butchery??
Technologia imefukua kaburi ππ π πMkuu unatafuta mwenza tangu 2022
Ni kweli hawaji PM ama kuna namna mnashindwana? Mapenzi ni magumu namna hiyo ama wewe binafsi una shida
2023 ulikuwa na miaka 36
2025 pia una 36?
Natafuta mwenza wa maisha
Habari za majukumu Ndugu zangu, Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya kwangu changamoto saana. Naomba hata kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa za nimtakaye...www.jamiiforums.com
KENZY nipe jibu
UMRI WAKE KAMA WEMA SEPETU UMEGANDA HAPO HAPOMkuu unatafuta mwenza tangu 2022
Ni kweli hawaji PM ama kuna namna mnashindwana? Mapenzi ni magumu namna hiyo ama wewe binafsi una shida
2023 ulikuwa na miaka 36
2025 pia una 36?
Natafuta mwenza wa maisha
Habari za majukumu Ndugu zangu, Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya kwangu changamoto saana. Naomba hata kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa za nimtakaye...www.jamiiforums.com
KENZY nipe jibu
UMRI WAKE KAMA WEMA SEPETU UMEGANDA HAPO HAPO
Wanatuokoa wasimbeTechnologia imefukua kaburi ππ π π