Ni lazima waishi chini ya paa moja?
dada Kaunga chukulia wewe ndiye mwanaume una mama na mke wako wanakaa nyumba mmoja nani utamhamisha aende ukampangishie pengine hata uwezo wa kutafuta chumba hauna majukumu ni mengi sana. kikubwa nikionacho mimi nikuwakalisha china na kuwaamulisha sitaki ugomvi hapa ndani na sikusema umtoe mmoja wao yaani utaongeza chuki zaidi mama yako ni mama yako na mkeo ni mkeo na kila mmoja ana nafasi yake hapo na nihaki yake kukaa hapo najua wengi watasema mama hana haki ila ukweli kunauwezekano mama umri wake ni mkubwa na hana pa kwenda zaidi ya hapo