Mke wangu mtarajiwa huyu

Sawa... mke sura nzuri, ila unamfaidi vipi @ deadbody na wewe upo ahera…
 

Wangu huyu hapa [emoji85][emoji4][emoji87]
Daah uyu Dada nliumia kipind kile kiba na mamake walivyomkana alaf alivyotoa majib yake clouds 360 ......uyu Dada ilibidi saivi ameshachumbiwa na mtoto wa kigogo kutokana na status yake hawa bongo flava wanamchosha tu.....awaone mamis wenzake akina faraja nyalandu Jacqueline mengi wanafanya harakt zao wakiwa ndani ya ndoa ...I lovu u JoJo
 

Na kweli mkuu. He he he
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…