Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji sana katika maisha.
Tatizo wanaume wa siku hizi hamuelewi. Mnapenda wanawake wa kusaidiana sana maisha. Hamjui mwanamke hakuumbwa kutafuta pesa. Matokeo yaje ndo hayo. Anakuwa mpiganaji kwa namna yake. Mtasaidiwa sana miaka hii.
Wewe una akili za kimumiani hata peponi huendi huna wivu au ww ni hanithi?kutwa kujionesha una mke kumbe una mkereketwa hahah.wacha wauni wakusaidie wew mshika paja
Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji sana katika maisha.
hahahaha kwahyo umeshazoea kumegewa mkuu? na ukimfumania hua unafanyaje unarudi nyumbani tu au unakiwasha na kama unakiwasha maplay boy wanasubiri ukitoka tu wanaingia mzigoni
HII USWAZI SIJUI....WE MVUMILIE TU MPENDE MSHAURI AACHE TABIA MBAYA...MKEO HUYO ANAKUJALI HATA AKIWA UCHOCHORONI...UKINIPA NAMBA YAKE NTAMSHAURI PIA AAHE HIYO TABIA
Mwache tu wambane huko vichochoroni kwani imebanduka? si na wewe ukihitaji unapata? kwani ni dawa ya meno whitedent kuwa wanaminya inaisha si iko pale pale tu kila mtu anajisevia kwa muda wake! Hebu tulia kwenye ndoa yako wala usihofu huyo ni mkeo tuuuuuuu