ally kitupe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 259
- 218
Ukiona wapendanao wanagombana shika Jembe ukalime [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jamani nisaidie uyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu Sana kwangu na mpiganaji Sana ktk maisha nisaidieni
Samahani unajishughulisha na nini kutafuta maisha?Jamani nisaidie uyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu Sana kwangu na mpiganaji Sana ktk maisha nisaidieni