Aliekuambia unafeli ni mkeo halafu unakuja kuuliza huku...muulize mkeo akuambie....kweli umekamatwa na huyo mkeo.Wakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
Tatizo lako liko hapa! Fanyia kazi muda wako, huna muda na familia!mkuu natoka home saa 10 usiku,narudi saa 1 jioni,sasa hip muda wa kuwa karibu ni ngumu mkuu.
Umefeli kwenye usimamiziWakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
Na yeye kakubali kua hana muda wa huo usimamizi! Case closed!Umefeli kwenye usimamizi
hapa ndipo unafeli sasa.anapika bila shida,na hela za chakula naacha mimi zote,ada za watoto shule,nauli akitaka kwenda hata kkoo au kanisani nampa mimi.
Kwenye hustle zote usimamizi ndio nguzo pekee ya kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.Na yeye kakubali kua hana muda wa huo usimamizi! Case closed!
Hata mm nimeshangaa,uyu jamaa ana shida kubwa sanaKwanza mwanamke anatoa nguvu wapi ya kukujibu hivyo ?
hawaoni kesho mkuuKwanza nikupe moyo karibu wanawake wote wako hivyo hasa inapokuwa biashara ya familia....ni moja kwa Mia kwa baadhi wanaojitambua...ni viumbe vina akili sana ila tatizo Lao kubwa ni rahisi kuwa rubuni wakapoteza lengo...inatakiwa helima na akili kubwa kuwa rudisha kwenye mstari
Hapo ndoa pia itamuendea kombo kwa ushauri huoBadili usimamizi kama una nia ya kuendelea na biashara.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Wakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
msaada kiongozi..[emoji23][emoji23][emoji23]
wapi kiongoziYupo sahihi, unafeli
sio kweli mkuuHuyo mke wako aache kucompare akili zangu na zako, Yaan mi kuzoeana nae kidogo ashaanza kukuona we unafeli? Na hela yenyewe kanipa 776K kama mshahara wa ......
Kuna mahali unafeli anko! Hata mm unanibishiasio kweli mkuu
tatizo sisi wabongo tumekalia hayo tu,toa ushauri mkuu,wengine wapate experience.Labda upelekaji wa moto.
ndoa haina shida mkuu,ni biashara tu,na maokoto hayaonekani.Hapo ndoa pia itamuendea kombo kwa ushauri huo