kitambaa Cha sofa
Member
- May 23, 2023
- 80
- 152
Asante sana mkuu nalifanyia kazi hiliPole sana mkuu kwa yaliyokukuta.
Kwanza fuatilia vizuri ujue huwenda uisilamu unaruhusu kumuoa asiyekuwa muisilamu,fuatilia hiyo kwa mashekhe wa kila aina utapata jawabu zuri kama inafaa ama haifai...
Uko sahihi mkuu, mapenzi huisha, wachache sana hubakia kwenye dini za wenzi waoMimi Huwa nasema humu Kila siku,usimumuamini mtu anayebadili dini hata siku Moja.
Hawa watu wanakuwa wanafiki sana. Hasa wanaotoka ukristo kwenda uislamu...
Ushauri Bora sana huu.Akirudi maana yake hakuna ndoa imeshavunjika mnaishi sogea tukae kuanzia sasahiv
Ulivombadilisha ulimfundisha uislam?
Wewe unaswali swala tano?
Ulimfundisha kuswali na afuate mafundisho yake?
Ninaye dadaangu alibadili dini akawa muislamu kisa ndoa.watu wengi hua wanabadili tu dini ili kufunika kombe mwanaharamu apite hapa nazungumzia wanaobadili kwaajili ya ndoa wapo kibao tu hawafurahii watoto wao pia kufuat imani yao mpya ila wengi huendelea kugonga kitimoto na wengine huenda kanisani kisirisiri na wengine wazwaz kama mkeo
Zamu yakeNa we badili uwe mkristo...
Mwanaume anae ongopa kuacha mke kisa watoto naona kama hana vipaumbele na ni muoga wamaisha, hapo hsmna ndoa mteme maramoja kukuepa madhara hatari ya badaye.Habari wakuu
Naomben mnishauri
Mim nilioa miaka 18 iliyopita mpka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa
Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam KWENYE kufunga ndoa ni yeye alibadil din na tukafunga ndoa ya kiislam
Tumeishi vizuri miaka yoote hiyo kwa aman na upendo
Sasa hv karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda km NAMPENDA niishi nae hv hv tu na ukiristo wake
Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyej maana naona km watoto wangu watahangaika mara leo mskitin kesho kanisan
Hebu nisaidien