Mke wangu kapotea kama Okwi...

yani mwanamke anahistoria kuchepuka bado upo naye tu? hakuheshimu hata kidgo huyo kamata ngom mpya hiyo
 

Basi mkeo atakuwa anajivinjari na mkeo.........sababu ni kama wamepanga mtindo wa kutoroka pamoja!....Okwi anajinyoosha sasa..............ahhhhhhhh inauma............dah!
 
Mke wangu amepote (kwa maana ya kwamba kwao haonekani wala kwangu hayupo na simu yake haipatikani) ila mwanzoni aliaga anakwenda kwao baadae akatoroka na kuzima simu. Sasa alipoondoka ameacha vitu vyake chungu nzima kwangu, sasa kwa kimya hiki miezi miwili now bila habari zozote. Sasa nimepata dem mwingine mkali zaid yake nashindwa kumpeleka kwangu kutokana na vitu vyake vingi (vya aliyetoroka) kuwepo ndan mwangu na pia wapangaji wenzangu wako kinoko sana kuona naingiza dem mwingne geto, na kibaya zaidi naumia nikiwaza kuanza mapenzi na mwingine then badae aliyetoroka kuja kurudi,, na huyu mpya anadhamilia hadi ndoa.

UTATA KWANGU.
 
Hapa unatoa taarifa ya kupotelewa na mke au ya kupata mchumba mpya?
NB Hapa siyo polisi peleka taarifa huko ili uisaidie kwenye uchunguzi.
 
Huyo aliyetoroka umezaanae?
Kama hujazaanae basi kakusafishia njia. Nafasi iko wazi mpe anayohitaji ajaze pengo? Ila kama umezaanae basi naomba wenzangu wakusaidie kukushauri zaidi mimi nahofia mateso ya hao wanao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…