Mke wangu kanitenda, naomba ushauri

Nowdys katika mambo ambayo huwa siombi ushauri tena, ni demu akizingua fasta tu me napiga chini
 
Kaka piga chini haraka wala usimrudishe sasa ukienda Europe sindio balaa jamaa itakua anapakua kila siku watoto wapeleke kwa bibi yao yy mpe uhuru
 
Mkuu hakuna kitu hapo, pita hivi
 
achana nae, nenda zako europe, ukirudi salama kama atakuwa ametulia umrudie. kama bado machepele achana nae
 
Pole sana mkuu. Hao ndio wanawake wa TZ.

Ushauri:

Mrejee halafu ufumue Rinda. Na baada ya hapo muache tena kumaliza mzizi wa fitna. Then tambaa zako Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…