Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

Unataka kufa si bure... Hakuna ndoa hapo huyo atakuwa ama anakuona si level yake na huenda ana mtu au pia anaona aibu kukutambulisha kwa wenzake. NDoa gani mke anaamua kuhama tu yani wala huna neno katika maamuzi makubwa kama hayo.
Nampenda sana
 
Tafadhali sema 'Mwanaume-Fala'........

Wewe lijitu hata kuzaa halijakuzalia kwa mwenendo huo unaling'ang'ania la nini?

Ni wazi jamaa ana shida ya ushamba-na-wanawake kama sihitilafu Kichwani.

Anataka apigwe tukio la aina gani aelewe HATAKIWI?
Ni mzur nampenda sana
 
POLE SANA KAMA NAANGALIA ULIVYO CHUMBANI UKIHESABU SIKU
417692382_249937874857547_8997368619275953874_n.jpg
 
Swahili: Kama sio chai, basi wewe fala.

English: If it's not tea, then you're fala.

Spanish: Si no es té, entonces eres fala.

Nyarwanda: Niba atari icyayi, noneho uri fala.

Hindi: अगर यह चाय नहीं है, तो आप फ़ला हैं।

Dutch: Als het geen thee is, dan ben je fala.
Fala unamuonea ni kenge
 
Akipandisha sauti na wewe mjie juu.

Alafu mbona ulimkazania wakati alionesha majibu ya ovyo tangia muda kama "Utanioa nikishanunua gari"

Wanawake wengi humble wapo.

Kingine kwanini ulimchukua mwanamke mliyelingana umri???
 
Daaaaah Mzee kwa hayo matukio yote ulopigwa hujashtuka tu?! Inasikitisha sana. Mna watoto wangapi?! Watoto wanaishi na nani?! Unawezaje kua na mwanamke anaekuchukulia poa kiasi icho na bado unaendelea kumwita mke wako?! Hapo huna chako Mzee
 
Daaaaah Mzee kwa hayo matukio yote ulopigwa hujashtuka tu?! Inasikitisha sana. Mna watoto wangapi?! Watoto wanaishi na nani?! Unawezaje kua na mwanamke anaekuchukulia poa kiasi icho na bado unaendelea kumwita mke wako?! Hapo huna chako Mzee
Nimefundishwa uvumilivu mkuu
 
Back
Top Bottom