Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

🤣🤣🤣 mwanaume akikamatwa anatia huruma balaa🥴

Tafadhali sema 'Mwanaume-Fala'........

Wewe lijitu hata kuzaa halijakuzalia kwa mwenendo huo unaling'ang'ania la nini?

Ni wazi jamaa ana shida ya ushamba-na-wanawake kama sihitilafu Kichwani.

Anataka apigwe tukio la aina gani aelewe HATAKIWI?
 
STafadhali sema 'Mwanaume-Fala'.

Wewe lijitu hata kuzaa halijakuzalia kwa mwenendo huo unaling'ang'ania la nini?

Ni wazi jamaa ana shida ya ushamba-na-wanawake kama sihitilafu Kichwani.

Anataka apigwe tukio la aina gani aelewe HATAKIWI?
Sikuhizi hata dawa mkuu
 
Toka lini wanaume tumeanza kuolewa kirahisi hivi na hamsemi?
Mkuu kama ni kweli hii mada huyo anakudharau kuliko kinyesi chake.

Ushauri wangu kwa vile mama yake nae hakupi ushurikiano anataka uteseke, basi kula huyo mama yake

Wewe jamaa una akili sana.
 
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani ananunua gari, akanambia nimechukua mkopo kazini.

Mimi nikatulia, akanunua hiyo gari, nakumbuka kipindi kile IST alinunua milioni 14, nikasema poa, haina shida. Naongelea mambo ya ndoa, ananiambia mimi sina shida kuhusu kunioa, lakini siwezi kuishi huko, nataka kuishi Dar au Morogoro. Nikamuambia mimi niko Dodoma, unafanya kazi Dodoma, kwanini utake kuhama?

Akanambia, ndiyo nimeamua, kama unataka kunioa basi ni kati ya mikoa hiyo. Nikasema isiwe shida, tutahamia huko, basi tukafunga ndoa, mara kanambia anaacha kazi, anahamia Dar kama alivyonambia kwani kapata kazi nyingine huko, nikamuambia mimi uhamisho kuja Dar mgumu, ananiambia kwani nani alikuambia nataka uhamie na mimi.

Mimi sitaki kuishi na wewe, baki Dodoma, mimi nataka kuishi Dar, siwezi kuishi na mwanaume 24/7. Tukagombana, nampigia mama yake, ananiambia kama mwanangu hataki kuishi na wewe kwanini unanilazimisha. Sijakaa sawa, akaacha kazi, nasikia yuko Dar kahamisha kila kitu chake, hivyo ananiambia nitakuwa nakuja kila weekend!

Ni mwaka wa pili sasa, mke wangu namuona kila anapotaka yeye, sijui hata anaishi wapi huko Dar, nikitaka kwenda ananiambia unakuja kwani wewe ndiyo unalipa kodi, hataki hata kunizalia kiasi mimba anatoa, nipo tu hata sijui nafanya nini, nguvu ya kumuacha sina, hata nguvu ya kuchepuka sina!
Jipige kifua sema mimi ni fala

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Achana na mke wa watu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Swahili: Kama sio chai, basi wewe fala.

English: If it's not tea, then you're fala.

Spanish: Si no es té, entonces eres fala.

Nyarwanda: Niba atari icyayi, noneho uri fala.

Hindi: अगर यह चाय नहीं है, तो आप फ़ला हैं।

Dutch: Als het geen thee is, dan ben je fala.

Natamani ungeandika Kichina na Kiarabu pia.
 
No matter what,Achana na huyo mwanamke.
sina pesa,sina good life,sina kazi na nina muonekano wa kawaida tu ila mwanamke yoyote akianza kunipa masharti waga hatutoboi siku tatu.

nasubiri siku nina pesa na kazi asee hiyo confidence rais akasome..una pesa then unaendeshwa na mwanamke?? Serious!!?
 
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani ananunua gari, akanambia nimechukua mkopo kazini.

Mimi nikatulia, akanunua hiyo gari, nakumbuka kipindi kile IST alinunua milioni 14, nikasema poa, haina shida. Naongelea mambo ya ndoa, ananiambia mimi sina shida kuhusu kunioa, lakini siwezi kuishi huko, nataka kuishi Dar au Morogoro. Nikamuambia mimi niko Dodoma, unafanya kazi Dodoma, kwanini utake kuhama?

Akanambia, ndiyo nimeamua, kama unataka kunioa basi ni kati ya mikoa hiyo. Nikasema isiwe shida, tutahamia huko, basi tukafunga ndoa, mara kanambia anaacha kazi, anahamia Dar kama alivyonambia kwani kapata kazi nyingine huko, nikamuambia mimi uhamisho kuja Dar mgumu, ananiambia kwani nani alikuambia nataka uhamie na mimi.

Mimi sitaki kuishi na wewe, baki Dodoma, mimi nataka kuishi Dar, siwezi kuishi na mwanaume 24/7. Tukagombana, nampigia mama yake, ananiambia kama mwanangu hataki kuishi na wewe kwanini unanilazimisha. Sijakaa sawa, akaacha kazi, nasikia yuko Dar kahamisha kila kitu chake, hivyo ananiambia nitakuwa nakuja kila weekend!

Ni mwaka wa pili sasa, mke wangu namuona kila anapotaka yeye, sijui hata anaishi wapi huko Dar, nikitaka kwenda ananiambia unakuja kwani wewe ndiyo unalipa kodi, hataki hata kunizalia kiasi mimba anatoa, nipo tu hata sijui nafanya nini, nguvu ya kumuacha sina, hata nguvu ya kuchepuka sina!
Wanaume tumepungua sana
 
Umeoa tapeli
 
Kama anakuja kila weekend una shida gani? Si utafute mfanyakazi wa ndani wa kukusaidia kazi? Mke anakupa uhuru halafu huutaki. Halafu akija vaa kinga.
Mm mwenyewe sijaona shida hapo.

Hatua ya kwanza ilitakiwa akate matumizi na misaada ya aina yeyote, na kama kaamua kuja aje kwa gharama zake
 
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani ananunua gari, akanambia nimechukua mkopo kazini.

Mimi nikatulia, akanunua hiyo gari, nakumbuka kipindi kile IST alinunua milioni 14, nikasema poa, haina shida. Naongelea mambo ya ndoa, ananiambia mimi sina shida kuhusu kunioa, lakini siwezi kuishi huko, nataka kuishi Dar au Morogoro. Nikamuambia mimi niko Dodoma, unafanya kazi Dodoma, kwanini utake kuhama?

Akanambia, ndiyo nimeamua, kama unataka kunioa basi ni kati ya mikoa hiyo. Nikasema isiwe shida, tutahamia huko, basi tukafunga ndoa, mara kanambia anaacha kazi, anahamia Dar kama alivyonambia kwani kapata kazi nyingine huko, nikamuambia mimi uhamisho kuja Dar mgumu, ananiambia kwani nani alikuambia nataka uhamie na mimi.

Mimi sitaki kuishi na wewe, baki Dodoma, mimi nataka kuishi Dar, siwezi kuishi na mwanaume 24/7. Tukagombana, nampigia mama yake, ananiambia kama mwanangu hataki kuishi na wewe kwanini unanilazimisha. Sijakaa sawa, akaacha kazi, nasikia yuko Dar kahamisha kila kitu chake, hivyo ananiambia nitakuwa nakuja kila weekend!

Ni mwaka wa pili sasa, mke wangu namuona kila anapotaka yeye, sijui hata anaishi wapi huko Dar, nikitaka kwenda ananiambia unakuja kwani wewe ndiyo unalipa kodi, hataki hata kunizalia kiasi mimba anatoa, nipo tu hata sijui nafanya nini, nguvu ya kumuacha sina, hata nguvu ya kuchepuka sina!
ni jambo rahisi,kaa kimya fata atakavyo,majibu yatakuja soon
 
Back
Top Bottom