Mke wangu kaliwa uroda

Kaa fikiri kwanza. Hizo pesa za kumtibu mama yako, ilikuwa ni stahili yako. Yeye amelibeba bango hilo na pengine kwa bahati mbaya 'afisa mikopo' most likely ni mwenzetu ambaye aliona kuwa kutumia shida ya huyo mama kwa kumuomba rushwa ya ngono . Hizo pesa mwisho wa siku alikupa wewe kwenda kumtibu mama yako na bila ya hivyo, pengine mama yake angefariki.
 
nakushauri umpige ile staili ya amber rutty
 

MSAMEHE, MWOMBE MUNGU AWAPE MAISHA MEMA, WETU WAMELIWA NA WANA MAGARI, MAFUTA, PESA ZA KUTUMIA NA ZA KUJIPODOA, KAMA UNAYOSEMA NI YA KWELI, CHUKUA MKE WAKO NA SAHAU YALIYOPITA
 
Waelekeze hiyo siri wanaume waache kulia lia huku mitandaoni. Wapambane na wanawake zao sio kutishana kuwa wanawake ni shida huku hawawezi kuishi bila mwanamke.

K' Matata.
Ngoja siku niamke vizuri nidraft kitu ila mwandiko sasa !!
 
Hata kama stori hii ingekuwa kweli huyo sio wa kuendelea naye.
Sera yangu mimi ni moja tu, mwananke ukienda nje ya ndoa hapo ushavunja agano na Mimi, ndo mwisho wa ndoa yetu.
Ni aibu mno mwanamke kuchepuka, hapa sibariki wanaume kuchepuka.
 
bora wakwako amegongwa amepata hela akakusaidia, wengine wanagongwa wakirudi wanaonba hadi hela ya sabuni
Mrudie tu mkuu mtoto akinyea mkono hatuukati tunauosha.
 
Ngoja siku niamke vizuri nidraft kitu ila mwandiko sasa !!

Kwa sababu nia ni kuwajuza wanaume siri iliyofichika, mie najitolea kukuandikia. Ukisha draft fanya kunitumia PM kisha nitakuandikia halafu wewe utautuma tuu.

Sitaki kuendelea kuwaona wanaume wanalia na kulalama kisa wanawake. Mie nimekua nikifunzwa, mwanaume huwa halii lii hovyo au kulalamika lalamika kila mahala. Yeye ni vitendo tuu ila kupigana ni BIG NO, bora kufukuza kuliko.

Kila la kheri.
 
achana nae... kitendo cha kukusaliti hata kama ingekuwa shida gani tayari hana upendo na amekudharau pia kakudharirisha sana... tafuta atakayekuheshimu kumbuka shida zipo tu...
 

Haujamshauri sasa amsamehe au apotezee
 
we msamehe tu kiongozii kwani unilpomuoa ulimkuta sild? kama hajaliwa amba mwambie arudi
 
hivi sikuiz JF kuna nini yaan vistory uchwara kibao





anyway hii story niliiskiaga mwaka 2012
 
toka uanze hiyo biashara ushawahi ingiza 8k per half day, mrudishe kitega uchumi hicho, akiliwa akukabidhi cash. mwambie awashirikishe na dada zako, huenda wanaliwa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…