Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!


Ingekuwa viceversa cjui kama angekubali
 
Kwa hyo hapa inaonesha m'ke hachagui wa kumuoa hata kama hajaridhika nae
 
pumbavu c kila mila ni za kufuata nyingine zimepitwa na wkt mambo ya kurithiana yamepitwa na wkt kbsaaaaaa we unaishi sayari gan???????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…