Mkuu naona huzijui tabia za wanawake, mwanamke siku zote anapenda awe anakuona au uwe nae karibu,harafu kikikosekana kitu wa kwanza kukulaumu kwamba hukutimiza wajibu wako kama mkuu wa kaya.
Asikwambie mtu kila mmoja anaipenda familia yake,hivyo ni mhimu kufanya kazi ili kuleta mahitaji na usitawi wa familia.
Kulia kwa mkeo hakubadili ukweli wa wewe kuendelea na majukumu yako,unachopaswa wewe ni kumweleza ukweli akubali au asikubali wewe hilo sio wajibu wako,nenda kazini fanya kazi utamkuta jioni.