Mke wangu hataki niende kazini

Laleni tuuu.... Fainali siku ya kujifungua!!!!!
 
Utakuwa unamtekenya tu hivi kama unajituma haswa na hiyo mimba si anachoka na kuwa hoi sidhani kama ukishugulika apasavyo atakusumbua muhim tafuta pesa
 
Aiseeee...😕
Nikimaliza kushangaa nitarudi niseme chochote
 
Duuuh pole mkuu.
Ila uwe unamtoroka...akiamka asikukute.
Kwan akinuna mimba itatoka?
 
Ni jana tu nilimbishia mtu kuhusu hili kumbe it happens. Pole kaka. Mimba zina mambo sana.
 
Pole mkuu kwa kuwa na wakati mgumu ambapo unasubiri kiumbe kipya. Mtafutie kitu cha kumdanganya abakie mwenyewe maana unaeza usifanye kazi lakini mkipata zawadi ya mtoto mtamtunzaje?
 
Rahisi, amkeni wote mjiandae anakusindikiza huko kazini kwani shida iko wapi
 
Mkeo ana umri gani mkuu, ili tujue mchawi.
 
Hvi why vijana mnaoana mkiwa bado watoto,sasa wewe ndo baba then ishu ndogo ka hii unaileta huku jf kuomba msaada!
 
Ati uache kwenda kazini........akiacha kulia yeye......utaanza kulia wewe.....komaa na job wewe......
 
Mkuu naona huzijui tabia za wanawake, mwanamke siku zote anapenda awe anakuona au uwe nae karibu,harafu kikikosekana kitu wa kwanza kukulaumu kwamba hukutimiza wajibu wako kama mkuu wa kaya.

Asikwambie mtu kila mmoja anaipenda familia yake,hivyo ni mhimu kufanya kazi ili kuleta mahitaji na usitawi wa familia.

Kulia kwa mkeo hakubadili ukweli wa wewe kuendelea na majukumu yako,unachopaswa wewe ni kumweleza ukweli akubali au asikubali wewe hilo sio wajibu wako,nenda kazini fanya kazi utamkuta jioni.
 
utoto unawasumbua siku mkikuwa mtaacha!
 
Kama unaitaji kolabo, niko tayari mkuu.nijuze kwa pm
 
we kapige kaz akjfungua atakula mawe???? yupo kaka alikua fundi wa nyumba naye mkew akawa hatak mmewe aende kazin.Bas akawa anamfuata mmewe mwishowe akachoka mbona alitulia
 

1. Ukishinda nyumbani anataka kusex basi usishinde.
2. Ukitaka kuondoka analia, kabla ya kuondoka mpe anachotaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…