Are you left hand?Habari zenu wana Jf wenzangu,kuna jambo lina nisumbua mwenzenu,mke wangu ana uja uzito wa miezi mitano,kila mda anataka kusex niki shinda nyumbani hiyo ndo kazi,kazini siendi nikitaka kuondoka analia afu anasema tuondoke wote bila hvo nyumbani hakuna amani kabisa yaani hapakaliki,hapa nilipo pesa zote nimekula sina kitu ila yeye hilo hali tambui
naombeni ushauri wenu wakuu nifanyeje? maana mke wangu nampenda sana sipendi nione akilia naumia sana.
Fanya uwe unamkimbia
Maloveeeeeeee!!!!!!!!!!!!!! Shemeji anapenda dyudyu kuliko chakula mezani...Mimba za wakware sina shida uliona wapi swala akafugwa na mbuzi??????????????????????subiria akikaribia kuifungua ukakope
kwa mtoa mada anafanya hivyoMaloveeeeeeee!!!!!!!!!!!!!! Shemeji anapenda dyudyu kuliko chakula mezani...Mimba za wakware sina shida uliona wapi swala akafugwa na mbuzi??????????????????????