Mke wangu hataki kurudi kijijini

Mke wangu hataki kurudi kijijini

Kwakeli hata mimi nisingerudi ningekomaa mpaka kieleweke mjini kutamu ati.Komaa tu ila kwakuwa kakataa naye achakarike sio akae akusubirie wewe ulete yeye ale tu
 
NILIMLETA MJINI BAADA YA MAISHA KUWA TAITI SANA NMEMSHAURI MKE WANGU TURUDI KIJIJINI HATAKI KURUDI KIJIJINI NIMFANYEJE.
Utamu wa Dar uyo umemkolea, hata ukimlazimisha atarudu tu Huyo hata kwa kutotoka njia si anaijua
 
Ndoa ni for better and for worse.. Mwambue apike hata chapati, maandazi na vitumbua riziki ndogo ndogo itapatikana Inshalah...
 
Mbona kilimo kinawatoa watu,hata kijijini utaishi Kama mjini tu...kaa nae mzungumze kwa upendo ataelewa tu..
 
Mjini kuna raha yake atiiiiii.... Hata ingekuwa mie ningekomaa kutokurudi kijijini....

Kama maisha yamebana kiasi hicho .... Mnunulie unga, mkaa MA mafuta ya kupikia apike maandazi, chapati, vitumbua Kwa ajili ya kuongeza kipato hapo nyumbani.... Angalau kupunguza makali ya maisha.... Mambo mengine yatasonga tuu.
 
We jamaa utakuwa tapeli
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-24-00-01-24.png
    Screenshot_2016-08-24-00-01-24.png
    37.7 KB · Views: 32
Mjini akiamka asubuhi anaoga anasugua gaga anakaa barazani anasubiri ulete kodi ya meza, kijijini akiamka asubuhi ashike jembe aende shamba nani anataka? Mjini kutamu babu wee
 
Back
Top Bottom