Mke wangu hataki kurudi kijijini

Mke wangu hataki kurudi kijijini

Kwanin hataki kurudi kijijini inabidi akupe sababu za msingi
 
weka picha yake tumuone kwanza ndiyo tukupe ushauri aise
 
Ka mwendee kwa makonda hana kibali cha kukaa mjini
 
Mbona unatumia avatar ya valentina au nayo pia haitaki kurudi kijijini
 
Awekaye jembe kulima na kugeuka nyuma huyo hafai katika ufalme wa mbinguni. Kama ulimtoa kijijini na sasa unataka kumrudisha huko ni kugeuka nyuma.Kama vp rudi wewe mwenyewe ebo.
 
Kama si kabila lako na Kama haukumzoesha kwenda sasa utaanzia wapi?
Na si ajabu huna hata kibanda huko.
 
Back
Top Bottom