Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,364
- 1,475
Nenda hospitali, ndio tatizo la wavulana.Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Miezi sita ni michache sanaJamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Hayo mauzazi mpago sitaki kabisa kuyasikia...😀 😀 😀 😀 😀 😀 mkuu una maanisha kina sholo mwamba na msaga sumu
Mkwe anataka mtoto wake apigwe Mimba kama hawezi atoe talaka, mzee anataka wajukuumiezi 6 tu, kuwa na subira ndugu. Sarah na Ibrahim walimpata Isaac wakiwa kwenye umri wa uzee. Kikubwa ni kumuomba Mungu tu.
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
So unataka apatiwe mimba hapa jamiiforum?Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Nakupa hii dawa bure kabisa, katengeneze wewe mwenyewe. Chukua mizizi ya tulatula/ndulele chemsha atumie kikombe cha roho asubuhi kabla hajala kitu chochote na jioni nusu saa kabla ya chakula cha usiku atumie siku saba tu. Baada ya hapo shughulika vizuri na mkeo, mimba itashika fasta.Na Mimi nataka mtoto kwa sasa.
Ahsante mkuuHyo depo provera n msala watu wanakaa hadi miaka mitano hawashiki mimba kisa hayo madawa ya uzazi.Japo mm n mtu wa afya ila hizi dawa na njia za kisasa n msala naziona.Nenda hosp tena kuna dawa utapewa alafu zidisha mechi za kwenye siku za hatar.
Pole kwa hofu but atakuwa poa tu shem.
AhsanteNakupa hii dawa bure kabisa, katengeneze wewe mwenyewe. Chukua mizizi ya tulatula/ndulele chemsha atumie kikombe cha roho asubuhi kabla hajala kitu chochote na jioni nusu saa kabla ya chakula cha usiku atumie siku saba tu. Baada ya hapo shughulika vizuri na mkeo, mimba itashika fasta.
Nilimaanisha robo asubuhi kabla hajala na robo jioniAhsante