Umekosea sana kumchoma iyo cndano huwa ni mbaya sana hapo nendeni hospital mkapate ushauri (huwa wanashauri kutumia uzazi wa mpango ukiwa tayari na watoto koz lolote laweza tokea)
Inawezekana tatizo liko upande wako chief. Jaribu kwenda hospital ufanye vipimo kama sperm count etc.
Unaweza kumshikia bango wife kumbe tatizo liko upande wako.
Kila la kheri.
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba paka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba paka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Basi sawa. Ila ukienda kupima utapata hakika na kujiamini zaidi. Haya mambo yapo sana katika jamii iliyotuzunguka. Tunawatupia mpira wakina mama na kukwepa uhalisia/ukweli. Vyakula na lifestyle ya sasa vimetuathiri sana Wanaume wa kizazi hiki. Ni muda muafaka umefika wa kujadili kwa kina masuala ya uzazi kwa sisi wakina Baba.