miezi sita bado mapema sanaJamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba paka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba paka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Mke wa Maonesho ya Nanenane huwenda.Yaani umeoa mke na kumchoma sindano ya uzazi wa mpango? Ulimuoa ili iweje sasa