Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,209
- 7,779
Asante mkuu ni heri watoto wakaishi na mzazi mmoja kwa amani wakikua watakubaliana na matokeo mapema na hawatapata madhara makubwa kama wakiwa ndani na kuona wazazi wanagombana kila kukichaUshuhuda mkali Sana huu,
pole Sana mkuu kea ulopitilia
Unampoteza mwenzakoUsimwache mkeo, endelea nae mlee familia angalau uwashepu wanao kimaadili ukiwepo ila jua tu huyo mkeo hatabadilika, huyo ana tabia ya kushindana muda wote, HATABADILIKA.
Cha kufanya ni wewe kubadili mindset yako kichwani, ondoa dhana uliyokuwa nayo kuwa utapata mke bora na ndoa njema. Ishi nae huyo mkeo kama mtu mnayefanya nae ngono pale ukimhitaji, masuala ya heshima nk achana nayo kabisa. Ukiweza kubadili hilo kichwani mwako hatakusumbua, sema utasumbuka tu pale unapotembelewa na ndugu na wageni kuwaza kuwa atakuaibisha, japo hili unaweza kuliSOLVE sasa kwa kumwambia kuwa asijichanganye kufanya UJINGA mbele ya wageni, na hili lioneshe kwa vitendo kwa kumpiga vitasa akizingua.. utaishi kwa furaha kabisa. Badili mindset yako wewe mkuu na sio ubadili tabia ya mkeo. Usimwache
Kwa hiyo unataka aje kukuuliza tena kuwa afanyaje?Unampoteza mwenzako
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2, mmoja kike mwengine wa kiume, hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao.
Mwanamke huyu hamuheshimu mtu yoyote hapa duaniani, jeuri kiburi, dharau pamoja na matusi, nimekuwa nikimvumilia matusi yake naona kabisa nimechoka. Lakini nikiangalia hawa watoto ndiyo inanifanya bado niendelee naye.
Naomba jamani, mwanamke hana adabu kwa mtu yeyote, yaani nimeingia choo cha kike.
Mkuu sisi ni familia ya kilokole mkuu lakini ndo hivo ndoa yao yanaenda kombo wamezunguka sana kwa wachungaji kutafuta suluhisho lakini hakuna mabadilikoUnamfahamu mtu mmoja Jina lake Yesu. Mtafute ukimpata nenda mpeleke kwa wazazi wako kamtbulishe wakimkaribisha nyumbani kwenu utaona Magego ya wazazi wako. Usipofanya hivyo kilichopandwa na wazaz wako nawe utakivuna. We Kalia bia
Mguu ulio oza dawa yake ni kuukata mkuuKwa hiyo unataka aje kukuuliza tena kuwa afanyaje?
Mkuu huwa sipendi sana kuongeleaa kuhusu migogoro ya wazee kwa sababu nikivikumbuka naumia sana ila bimkubwa ndo source kuna vitu Vingi anazinguaPole mkuu ila tueleze bi mkubwa wako tatizo umeliona Ni lipi yeye ndio mwenye mdomo na matusi au mzee ni mpole sana nn au umeona kosa gani kwa bi mkubwa wako
Mnk hat mm goroko nimekulia katika familia ambayo kulikuwa na migogoro Sana alfu baadae wazaz walikuja kupendana Sanaila mzaz mmoja amefariki ila mwazo mzee ndio alikuwa mtata balaa
🤔Hujamkuna mpaka ikatoka jasho ndio maana
Mkuu kabla huja mzalisha hukujua tabia zake ulizo zitaja?Mimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2, mmoja kike mwengine wa kiume, hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao.
Mwanamke huyu hamuheshimu mtu yoyote hapa duaniani, jeuri kiburi, dharau pamoja na matusi, nimekuwa nikimvumilia matusi yake naona kabisa nimechoka. Lakini nikiangalia hawa watoto ndiyo inanifanya bado niendelee naye.
Naomba jamani, mwanamke hana adabu kwa mtu yeyote, yaani nimeingia choo cha kike.
Kabila gani huyo, mgogo auMimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2, mmoja kike mwengine wa kiume, hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao.
Mwanamke huyu hamuheshimu mtu yoyote hapa duaniani, jeuri kiburi, dharau pamoja na matusi, nimekuwa nikimvumilia matusi yake naona kabisa nimechoka. Lakini nikiangalia hawa watoto ndiyo inanifanya bado niendelee naye.
Naomba jamani, mwanamke hana adabu kwa mtu yeyote, yaani nimeingia choo cha kike.
Pole sana toke iko choo cha kike alafu ingia cha kiumeMimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2, mmoja kike mwengine wa kiume, hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao.