Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2 mmoja kike mwengine wa kiume hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao .
Mwanamke huyu hamueshimu mtu yoyote hapa duaniani jeuri kiburi dharau pamoja na matusi nimekuwa nikimvumilia matusi yake naona kabisa nimechoka lakini nikiangalia Hawa watoto ndio inanifanya bado niendelee naye naomba jamani mwanamke Hana adabu kwa mtu yeyote yaani nimeingia choo cha kike.
Ulisepa?Kimbia mkuu ukajipange ulee watoto la sivyo utakufa siku si zako na hao watoto hutalea. chagua moja ufe haraka uache watoto... au usepe uwe na amani na nguvu ya kulea watoto.. NB : naongea kwa uzoefu yameisha nikuta kama yako.
Niamini mimi nakuambiaSio kweli ndugu
Yeees that's it... Ama mpaka iwe nyekunduuuuuuHaichakate mpaka itoe mma
Hivi nawe unacommentigi ivi?Hujamkuna mpaka ikatoka jasho ndio maana
AiseeYeees that's it... Ama mpaka iwe nyekunduuuuuu
Hili nalo muende mkalitazme....Mimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2 mmoja kike mwengine wa kiume hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao .
Mwanamke huyu hamueshimu mtu yoyote hapa duaniani jeuri kiburi dharau pamoja na matusi nimekuwa nikimvumilia matusi yake naona kabisa nimechoka lakini nikiangalia Hawa watoto ndio inanifanya bado niendelee naye naomba jamani mwanamke Hana adabu kwa mtu yeyote yaani nimeingia choo cha kike.
Hajaichakata kama makinikia....Hujamkuna mpaka ikatoka jasho ndio maana
Asante ndugu yangu ushauri wako shukrani sana mkuuBro skia nikwambiee
Achana na huyo mwanamke atakutesa sana
Usijdanganye kuwa atabadilika,that will never happen
Usiendelee kuwa nae kwa sababu eti unaonea watoto huruma,watoto watakua tu
Nimekulia kwenye familia yenye migogoro tangu nipo chekechea nashuhudia wazazi wangu wanagombana mara kwa mara mpaka Leo hii ni ugomvi kila kukicha na chanzo cha ugomvi ni bimkubwa wangu
So mzee akawa na point kama yako eti wakiachana mimi nitapata tabu kukua bila wazazi wawili
Hilo ni bonge La mistake alilofanya mzee wangu kuendelea na bimkubwa wangu ili tu mimi nipate malezi ya baba na mama
Matokeo yake sasa
Mpaka leo hii ni ugomvi kwenda mbele hamna amani
Kama ningekua na uwezo ningewatenganisha lakini ndoa yao Mimi hainihusu nadeal na mambo yangu
Nina uhakika hata hao watoto wako wangekua na ufahamu na kujua unachopitia wangekuruhusu uachane na huyo mwanamke
Kama unapenda watoto wako wasiathirike kisaikolojia kutokana na ugomvi wa wazazi ni bora ukaachana na huyo mwanamke wako mapema kuliko waendelee kushuhudia ugomvi wa wazazi kila kukicha lazima wata athirika kisaikolojia
Mimi ni mhanga wa migogoro ya wazazi naelewa ninachokisema
Kazi ni kwako bro
Nakumbuka kwenye uzi wa masanja kuchapiwa uliapa kamwe hutaoa. The same to me nitakuwa nagonga tumpige chini
ndio nalea watoto saa hizi, japo ugomvi haujawahi kuisha ila angalau niko mbali nayeUlisepa?