Mke wangu hajui kupika wali

aaagh! mwana mke wa namna hii timua
 
kaka hizo ndio sequences za kupika wali ukawa mtamu/mzuri suala la kiasi cha chumvi ,mafuta, na vinginevyo ni ninyi sasa
 
Mfundishe kupika,unafikili kila mtu kwao wanapenda kula wali?..usiwe kama msukuma kila mtu akikutana naye anamsalimia kisukuma
 
Mfunze nawe km ndo walewale komaa au mpeleke mkeo chuo cha upshi
 
Yaani mwenyewe namshinda.

Huyu shemeji yetu anazingua aseeh bora ukosee vyakula vyote ila sio ubweche,mpungaa cheka na watoto.
S ndo hapo tena wali una mapsh tofaut tofaut c ndo mwanzo wa kula wa maji kila siku jamani khaa!
 
Siwezi kumcheka kwa sbb najua kwa sbb sio kila siku utapatia kuna siku unateleza hasa ukiwa boko lakini ubichi ni kujitakia moto upo why uwe mbichi?? Lakini kama anafanya hivyo hivyo kila siku huyo mpeleke chuo cha mapishi. Maaana walau mwanamke ujue kupika vyakula vyetu muhimu vya kitanzania kama ugali,wali,pilau,ndizi na makande.
 
Maskini mfundishe mbona jambo dogo hilo
 
Nunua RICE COOKER.
 
Kupika kipaji ...kuna Dada anatusaidia kazi za nyumbani kapitia mafunzo ya mapishi lakini anachopika hakieleweki.
 
Hamna maduu wa kisasa tabia ndo hizohizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…