Mke wangu hajui kupika wali

Kwanini umefikiria haraka kumrudisha huyo beki tatu badala ya kufikiria kumfundisha mkeo kupika wali?

Kitu kidooogo unashitaki kwetu?

Angekuwa hajui kupika vyoote ungempeleka mahakamani sio?
 
Ndio umfundishe sasa mkuu.. ya nin kuja kumnanga huku jf.
 
Google au angalia youtube jinsi ya kupika alafu upike mwenyewe au umfundishe waife
 
ahsante sana mkuu kuliona hilo !mke amejifungua lakini bado mume atalalamika msos mbaya !na unajua kbs mkeo amejifungua anaugulia maumivu !mjifunze kupika !tusichoshane jamani
 
Katk makosa makubwa mnayoyafanya wanandoa wa siku hz n kutajaadhaifu wa wenzi wen kwa kigez cha kutafuta ushaur,kama kweli unampenda kwann usimfunze ?la kama hujui mbona kuna web site nying za mapish muelekez aangalie huko na sio kutuletea madhaifu yake hum.hajui kupika wali lakn inaonesha anajua kupika vingine ving
 
ahsante sana mkuu kuliona hilo !mke amejifungua lakini bado mume atalalamika msos mbaya !na unajua kbs mkeo amejifungua anaugulia maumivu !mjifunze kupika !tusichoshane jamani
Mimi huwa nakomaa kabisa sitegemei mtu, hata hivyo housegirl akiwa mjanja atakuvutia tu kama alivyosema eti housegirl anapika vizuri hadi anafurahia sasa huoni hapo kidogo tu angemchukua awe mke kisa kujua kupika wali ahahaha
 
kwa faida ya woote wali hupikwa hivi;
1.chemsha maji ya kutosha
2 safisha mchele unaotarajia kupika baada ya kuuchambua
3.chemsha mafuta kiasi utakachotumia kupika wali wako,hakikisha mafuta haya yamechemka waweza funika wakati wa kuchemsha ili yachemke kwa ufasaha,ukiyasikia harufu na moshi itapendeza zaidi.
5. epua mafuta weka pembeni then tatatibu tumbukiza mchele wako ulochujwa [uwe mwangalifu hapa maji mazito kuliko mafuta hivyo huwa yanaruka]
then koroga weka maji ya moto yazidi kidogo kwenye level ya mchele ndani ya sufuria yako.
6. funika then punguza moto wako taratibuu uive
haijarishi unatumia gas, mkaa, kuni au makaa ya mawe
'NB KAMA UNAWEZA NA UMETUMIA MFUNIKO FLAT UNAWEZA KUANZA NJONJO ZA PINDUA PINDUA YAANI MFUNIKO CHINI MFUNIKO JUU MPAKA WALI WAKO UNAIVA
NB2....Akishindwa kabisaaa mlete nimfundishe
 
Wakati wa uchumba hukuwahi mwambia akupikie??!! Mwanamke asiyejua kupika ni changamoto kwa kweli
You mean unajua kupika vyakula vyote au mwanamke asiyejua kupika wali ndo changamoto? Amweleze mkewe dukuduku lake mama ajiongeze kujifunza badala ya kutoa siri za ndani nje. Yeye mwenyewe kuna mengi mkewe anamvumilia.
 

Haya maelekezo hata huyu mke anayajua na kama wana katoto ka miaka mitatu kama huwa kanacheza karibu wakati mama au dada anapika kanajua. Ungesema mchele kiasi gani uwekwe maji kiasi gani, mafuta na chumvi kiasi gani, moto mkali kiasi gani, upikwe kwa muda gani. Kutozingatia uwiano wa vipishi ndo sababu ya kupika leo tope,kesho mbegu.
 
Kwani rice cooker inapika wali,,!!!
Hahahahaa.... inapika wali na ina akili balaa. Hata ukiweka mchele kikombe kimoja,mafuta nusu kikombe na maji lita mbili yenyewe inajua kukausha wali kisayansi baada ya muda unapakua wali matata sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…