Huyu jamaa inaonekana hajawahi kuishi gheto... mimi kikiletwa mara mbili kibovu naingia mzigoni maana labda kuoka mikate keki ndivyo sijui tu.Kati ya vitu angalau najivunia ni kupika, yan mwanamke mie nishindwe kupika?
Uwiiii hapana.
Aseee
....Hicho ni kitendea kazi tuu,bila ujuzi atachemsha tuu. Wa kwangu alikuwa na same problem, wakati mimi napenda mapocho pocho, hasa wali nazi, pilau, biriani etc...Nina mama mdogo, mama yangu na shangazi ambao kwa mapishi hatari...nikaanza kumzoesha kwenda kushinda huko weekend na pia kuwaalika kwangu. Baada ya muda naye akawa mkali kuliko walimu wake.Hahaha! Mnunulie rice cooker!
Si mpaka huyo mwanaume ajue kupika sasa!!! Utakuta ndo wale waleNi changamoto ambayo mwanaume akiamua kumfundisha kupika itakuwa imekwisha,,,
Hata mie naona, mtoa mada hajui kupikaaSi mpaka huyo mwanaume ajue kupika sasa!!! Utakuta ndo wale wale
Ndo maana anakula bokoboko, apambane tu hali yakeHata mie naona, mtoa mada hajui kupikaa
Kati ya vitu angalau najivunia ni kupika, yan mwanamke mie nishindwe kupika?
Uwiiii hapana.
Aseee
Aseeh hongereni saana bila shaka anachuraMimi kuna siku huwa nampikia my wife chakula na hata kumwekea maji ya kuoga bafuni huwa inategemea na ni nani mwenye muda wa kufanya hivyo vitu!......Akiwa busy na mambo mengine i usually do it na nikiwa busy na shughuli nyingine she usually do it!
Mnunulie kitabu cha mapishiWali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.
Mwanzoni nilipomuoa alimleta housegirl kwa maana yeye anaenda kazini, huyo hg alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima,
Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na hg ila nimejua hilo baada ya huyo hgal kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kileji mambo ya mapochopocho ya town hayajui sawasawa.
Hii imelazimu muda mwingi wife ndio apike, sasa nilichogundua wife naye kupika ni ziro hasa ubweche,
Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika bekitatu naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana, sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule bekitatu aliyeondoka nimuweke ndani ili wife akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu
Nunua rice cooker..problem solvedWali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.
Mwanzoni nilipomuoa alimleta housegirl kwa maana yeye anaenda kazini, huyo hg alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima,
Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na hg ila nimejua hilo baada ya huyo hgal kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kileji mambo ya mapochopocho ya town hayajui sawasawa.
Hii imelazimu muda mwingi wife ndio apike, sasa nilichogundua wife naye kupika ni ziro hasa ubweche,
Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika bekitatu naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana, sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule bekitatu aliyeondoka nimuweke ndani ili wife akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu
Wali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.
Mwanzoni nilipomuoa alimleta housegirl kwa maana yeye anaenda kazini, huyo hg alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima,
Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na hg ila nimejua hilo baada ya huyo hgal kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kileji mambo ya mapochopocho ya town hayajui sawasawa.
Hii imelazimu muda mwingi wife ndio apike, sasa nilichogundua wife naye kupika ni ziro hasa ubweche,
Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika bekitatu naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana, sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule bekitatu aliyeondoka nimuweke ndani ili wife akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu
I see Paul kellerman ova there, smart man.Bora ununue rice cooker kama unashida na mpishi kuoa ni kujitesa.