Mke wangu hajiamini, anajiona mbaya kila wakati

Msingi wa tatizo la mke wake uko hapa, yupo/wapo waliowahi kumtamkia maneno mabovu huyu bidada juu ya muonekano wake,

Nakumbuka ilinitokea mimi nikiwa kwenye umri wa balehe mlezi wangu siku moja katika mazungumzo tu akasema mwanangu wewe Ni mrembo ila tu hiyo midomo/lips imezidi unene, kauli ilinitesa sana ile, nikawa nikiongea mbele za watu najiziba midomo yangu, ulipoingia msimu wa smartphones nikawa napiga picha kwa kuachia tabasamu hata pasipo hitajika lkn Siri yake nyuma ya Hilo tabasamu ilikuwa ni kuficha unene wa lips zangu, (japo nilipendezea kutabasamu),, ajabu Sasa watu wengi walikuwa wakisifia lips zangu zilivyo nzuri hata wanafunzi wa kike walikuwa wakinipaka lipstick ili tu nilaze lips katika barua za maboyfriend zao, lakini bado haikunipa confidence ya midomo yangu

Hili tatizo limeisha hivi karibuni tu baada ya mada moja humu kuzungumzia aina ya lips zangu, nikasoma comments za wadau na wote walisifia lips aina hii niliyonayo hapo ndipo nilipoamua kuipuuza kauli ya aunt yangu aliyonitolea zaidi ya miaka 10 iliyopita na hata picha zangu za hivi karibuni nyingi nimepiga pasipo tabasamu nimezipokea na kuzipenda rasmi lips zangu na kwa hakika ninazo lips nene very sexy lips

Hiki ndicho anatakiwa kufanya mtoa mada kwa mkewe sidhani km mkeo Ni mbaya kwa kila pahala, atoe kizuri chake akazanie hapo hapo kumsifia anaweza hata kutafuta mada ama picha akawa anamuonyesha mkewe vile alivyobarikiwa nk, yaweza kuwa miguu, umbo, macho,pua nk

Yeah watu wa karibu kama walikukosoa ulivyoumbwa inakua vigumu kusahau
Mimi mama yangu mzazi aliniambia nina kichwa kidogo nikawa najiona kama abnormal nikawa nikisuka nasuka nywele nyungiii miaka nenda rudi siku moja nikajisemea tu ebu nisuke yebo kama nikichekesha basi huwezi amini rafiki zangu wakanambia manywele hayakupendezi zaidi ya hizi nikaendelea badae nikanyoa kabisa kumbe nipo kichwa normal tu bwana..mama alinitamkia vile cjui alikua anatania lakini nililibeba sana moyoni
 
Mbona mpaka.leo naambiwagwa na kicha kidogo lakini haijawai nisumbua..huwa Nasema SMALL HEAD BIG BRAINS...

mimi insecurities zangu nimezitengeza mwenyewe...
 
Hilo ni tatizo la kisaikolojia alilonalo! Iko siku litakwisha kabisa.
Endelea kumthamini bila kuchoka,endelea kumhudumia vizuri.
 
Maneno yanaweza mkaa mtu Miaka na Miaka....Japo kuwa na Mimi na ulimi mkali Sana sometimes...mtu akinikera hua naweza ongea Maneno ya kumkwaza HASWA..
ila Mama yangu alinikataza kabisa kuongelea maumbile ya watu...HAKUNA aliejiumba...but dooh

Mimi Sikumbuki Maneno nloambiwa na watu kuhusu maumbile yangu... matatizo yangu nlishayakubali nasioni Kama yananipunguzia Haiba nzuri
Ni kauli fupi na aliisema katika maongezi ya kawaida kabisa ila iliniathiri nikawa najishtukia mbele za watu, hata walionisifia lips sikuwaamini nilihisi wananilaghai, yeah so vizuri kukosoa au kutukana mtu kutokana na maumbile yake sababu hakuna ambae angepewa nafasi ya kujiumba akajiumba vibaya
 
Yeah watu wa karibu kama walikukosoa ulivyoumbwa inakua vigumu kusahau
Mimi mama yangu mzazi aliniambia nina kichwa kidogo nikawa najiona kama abnormal nikawa nikisuka nasuka nywele nyungiii miaka nenda rudi siku moja nikajisemea tu ebu nisuke yebo kama nikichekesha basi huwezi amini rafiki zangu wakanambia manywele hayakupendezi zaidi ya hizi nikaendelea badae nikanyoa kabisa kumbe nipo kichwa normal tu bwana..mama alinitamkia vile cjui alikua anatania lakini nililibeba sana moyoni
Tena Ni mbaya sana ukiambiwa na mtu unaemuamini, Kama hiyo ya mama yako lazima ikutese tu hata Kama alisema kwa pasipo hasira,
Wazazi, walezi, marafiki, ndugu na wapenzi ndo wanaoumiza sana ikitokea akatamka kauli negative kwa mlengwa na hukaa kichwani kwa mlengwa hasa Kama alitamkiwa akiwa mdogo/teenager tofauti na ukianza kuwaelewa walimwengu 😂😂😂😂
 
Habari za wakati huu poleni na majukumu na misiba tunayo ipata ndugu zangu.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu kuhusu ili swala la mke wangu kujiona mbaya asie na uzuri wowote hali inayo mpelekea kutojihamini anapokua mbele za watu na ninapo toka nae au anapo kua mbele zangu mara zote..

Nimejaribu kila namna ya kumpendezesha kwa mavazi, urembo wa hapa na pale na kumsifia ila mambo yanagonga mwamba . Kwani ni kimsifia anakataa sifa ninazo mpa na kunijibu yeye ni mbaya na hana uzuri wowote walio nao wanawake wengine. Nimekaa nae chini na kumweleza sipendi anavyo jichukulia but amekua akirudia rudia kila wakati na muda mwingine yeye tuu anajishuku na kuniuliza nilimpendea nini na yeye hana uzuri wowote.

Huu ni mwaka wa pili sasa bado anajichukukia hivyo na mimi kama mwanaume nina kasirika sana hali ya kutamani kumpa kichapo kwa jinsi anavyo jichukulia na kumrudisha kwao au kumpotezea mpaka atakapo jirekebisha.

Naombeni ushauri ni mfanye nini huyu kwa kweli
Pole Mkuu chunguza Life Background yake uenda kuna Mambo Alipitia ya kukataliwa, kudharauliwa,kukatishwa tamaa vitu kama hivyo.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
fala sana, thats is !!!!

Et mtu katoka asubuh, mchana hamna meseji, jion anarud, hamuandai mkeweee, alafu anategemea kupewa K.

Tuma meseji,tena wee USIPIGE SIMU ...ujumbe wa meseji unahisia kuliko sautii .

Mwambieee

Aiseee nakula chakula cha mchana huku kazin lkn kiukweli hakijawah kua kitamu kama chako Mke wangu.. Yaaan chakula chako sijui unakipikaje, natamaan ungekua unaniletea kazin lkn ndo ivo kazi zinatuweka pagumu. Sema nn???. Kiukweli leo Ninahamu sana , toka asubuh nakuwaza Wewe tuuu, jitahidi leo uwah kupika ,nikifika unipe hiyo utamu, kisha nile chakula, baadae sasa unipe mauno yako ya uzazi unayonipagaa

Uiandae hiyo tamu wife ...nakupenda sana.

Utafika nyumban, utakuta mwenzako K imeshajiloanishaaa, hamu imempanda kichwanii, kakupikia msosi wanguvuuuuuu ,yaaan utajinyandulia nabado unakua umeua ndege wawili kwa wakat mmoja.

Wanawake hawapendi uwe nambo ya KILOKOLE LOKOLE SANAA, KIPADREE, KIASKOFU..HAWAPENDI

NA HAMNA VIUMBE WAPENDA NGONOOO KAMA WANAWAKE...LKN NDIO VULIUMBE WANAOWEZA KUCHUKIA NGONO KWELIKWELI.
Mkuu una balaa wewe
 
Samahani una miaka mingapi kwenye ndoa mkuu?

Najaribu kufikiria hayo maneno ya kumsifia deile unayotoa wapi throughout miaka nenda rudi uje. Au unakuwa unarudia rudia yale yale

BTW kuna wanawake wamefundwa wakafundika. Hawezi mnyima unyumba mumewe hata kama wametoka kugombana.

Hili shida liko kwa hawa wa kizazi hiki, wenye kutaka haki sawa
Mkuu banah kwani unafikiri swala la ni umri wa ndoa au ni wewe unavyomfanya mkeo na kudumisha upendo kati yenu, swala sio msg tu na mbona msg zipo nyingi tu, maana mkuu umeongelea msg ni kama huwa zinaisha, hivi unaweza kuishiwa maneno ya kumwambia mkeo na sifa, usikariri mkuu mapenzi ni mapana sana ndugu
 
Msingi wa tatizo la mke wake uko hapa, yupo/wapo waliowahi kumtamkia maneno mabovu huyu bidada juu ya muonekano wake,

Nakumbuka ilinitokea mimi nikiwa kwenye umri wa balehe mlezi wangu siku moja katika mazungumzo tu akasema mwanangu wewe Ni mrembo ila tu hiyo midomo/lips imezidi unene, kauli ilinitesa sana ile, nikawa nikiongea mbele za watu najiziba midomo yangu, ulipoingia msimu wa smartphones nikawa napiga picha kwa kuachia tabasamu hata pasipo hitajika lkn Siri yake nyuma ya Hilo tabasamu ilikuwa ni kuficha unene wa lips zangu, (japo nilipendezea kutabasamu),, ajabu Sasa watu wengi walikuwa wakisifia lips zangu zilivyo nzuri hata wanafunzi wa kike walikuwa wakinipaka lipstick ili tu nilaze lips katika barua za maboyfriend zao, lakini bado haikunipa confidence ya midomo yangu

Hili tatizo limeisha hivi karibuni tu baada ya mada moja humu kuzungumzia aina ya lips zangu, nikasoma comments za wadau na wote walisifia lips aina hii niliyonayo hapo ndipo nilipoamua kuipuuza kauli ya aunt yangu aliyonitolea zaidi ya miaka 10 iliyopita na hata picha zangu za hivi karibuni nyingi nimepiga pasipo tabasamu nimezipokea na kuzipenda rasmi lips zangu na kwa hakika ninazo lips nene very sexy lips

Hiki ndicho anatakiwa kufanya mtoa mada kwa mkewe sidhani km mkeo Ni mbaya kwa kila pahala, atoe kizuri chake akazanie hapo hapo kumsifia anaweza hata kutafuta mada ama picha akawa anamuonyesha mkewe vile alivyobarikiwa nk, yaweza kuwa miguu, umbo, macho,pua nk
Mie wangu nilimpendea umbo yaani ni namba nane ile slim, maadili mema to the fullest, japo yeye ni full black sura si kiivo sana. Ila ndio nampenda mpaka basi. Mind you mimi ndie nilifungua kitasa na tuna vijana 2 sasa
 
Hongera sana kumpata namba 8 kufungua kitasa na kuwa na vijana 2
 
Hapana siku wahi mkosoa wala kusifia mwanamke mwingine mbele yake ndugu zangu
Hilo ni tatizo spiritual zaidi. Ana roho yakujikataa. Nione nikuelekeze chakufanya. Ukimuacha damage utakuwa kubwa zaidi kwake na familia!
 
Ni mzuri kweli au unamsifia tu kwa sababu umelewa penzi?
 
1.Aache kuingia istagram na social networks nyingine ilo la kwanza.

2.Mwambie ukweli uzuri ni kitu shirikishi.

Mwanamke wa kawaida kwa mwingine ni mzuri kwa mwingine.Mke mdg wa Lukamba watu wanaona ni kituko lkn lukamba huwezi kumwambia kitu kwa mke mdg.

3.Aache kujifananisha ukiona haachi basi mfananishe na aliowapita uzuri?Muulize huyu kakupita au umempita?kisha muulize anataka kuwa mzuri kupita wanawake wote duniani??? Km jibu ni hapana shida nini anahangaika!!

Na wewe punguza kuwa mrembo kupita mkeo

Hilo tatizo kalipata utoto sasa sio la kuisha leo wa la kesho..

Mi mke wangu hana mguu wa beer sasa anajisifia kote akifika kwenye miguu lzm ajiponde kdg.Akikutana na wenye miguu ya beer anaanza kuwasifia,akiwasifia na mimi najifanya kusikitika yaani mwanamke kapewa mguu tu vingine vyote umepewa wewe mke wangu anacheka,anakuwa na amani

Hawa wanawake wote nachojua wanatabia ya kujichunguza.Hiko kinapelekea waone kasoro zao na vitu wasivyovipenda kwenye miili yao..woteeeeeeee.Kila mwanamke ukimuuliza hupendi nini kwenye mwili wako lazima atoe majibu lazima majibu yawepo
 
Unamsifia mkeo mzuri wakati Instagram unalike Picha za watoto wazuri wenye makaliooo hayooo Yani mwanamke huwaga anakosa kujiamini baada ya kuona mambo kadhaa.. pengine ashawahi kuoneshwa mchepuko wako balaa analoo kuliko yeye!! Simu imejaa pichaa za wanawake wengine wazuri sana pangine hata hudate nao lakini akiona anajiona taka taka tu. Ukitoka nae out macho kodoooo kwa wanawake wengine.

Mwanamke asiekuwa na Shape nzuri wanaojiamini wachache sana yani akiona umelike hata picha tu bhasi shida. Ndio maana wanaanzaga kununua hata madawaa ya kukuza matako na shape.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom