Mke wangu hajawahi kuniambia ananipenda


Mkuu una uhakika?uusije ukasababisha ndoa kuvunjika
 

Duh! Pole sana sioni hata kinamchomsababisha akununie...Yaani kumwambia mumeo kwamba unampenda imeshakuwa shida kiasi hicho!!!?
 
Duh! Pole sana sioni hata kinamchomsababisha akununie...Yaani kumwambia mumeo kwamba unampenda imeshakuwa shida kiasi hicho!!!?

Huu ni ukweli wa mleta mada
Bado ukweli wa mkewe
Na ukweli halisi!

Hatutaweza kujua kamwe!
 
Pole sana amani anakupenda tena sana
Labda anaona neno gumu kulitamka mwambie awe anakwambia hata kwa Kingereza au kabila yoyote kama
Nene nakutogagwa
 
Hataki kuambiwa anapendwa, anataka kuonyeshwa anapendwa.


Tulikubaliana tuoane ..lakini katika kipindi chote cha ndoa sijawahi kusikia mke wangu akinitamkia kuwa ananipenda japo tunafanyia mambo
 
je ungezaliwa ndaga fijo? Maana mie ningekuwa ngada fijo nisingekula idogi.


Hivi ujanja woooote huu wewe ni MNGONI, duh! Kweli maulana anajua kutoa adhabu. Kwa kiburi changu mimi ningezaliwa mngoni ningejinyonga
 
Jamaa yangu usijiumize bure kwa mambo ya kufikirika,
unajua kila mtu ana njia yake ya kuonyesha upendo anaweza akawa anakupeti dear,baby baby za kumwaga lakini akawa
hakupendi kwa dhati.Na pia anaweza kuwa mzito kusema nakupenda still akawa anakupenda.
Tumia akili kama anakuichukia utajua tu !!
 
Matendo yake wee ubayaonaje? Kwani matendo hukidhi haja kuliko maneno. Mtu anaweza akawa anakwambia kila Siku nakupenda bab kumbe hakupendi. Mwangalie matendo yake, utajua tu ka anakupenda.
 
siku hizi unaweza kupata mpnz na i love you za kuzidi,ila hakuna mapenzi bali kuna anachotafuta,huko unakotaka kwenda i lov u utazipata sana ila utajuta
 
shida hapo hua humfikishi kwenye mavituuuz,
amini usiamini kuna anaemwambia,kumtamkia na anamaanisha,endelea kumlazimisha siku atatamka nakupenda ..........(jina la huyo anaemfikisha)
 
Ha ha ha ha ndoa kaaazi kweli kweli
 
Mi ni bora nionyeshwe mapenzi kwa vitendo kuliko maneno. Nishaambiwa sana hayo maneno 'i love u, i miss u, cant live without u, ur thr best thing anf most important person in my life' lakini leo hii hata hayupo na mie so wewe mradi mkeo anaonyesha mapenzi ya kweli anakuheshimu na kukujali hilo ndo la maana, wanakuambia maneno hayavunji mfupa.
 
Hataki kuwa mnafiki! Mpe pongezi kwa kutokukudanganya na mfanye akupende kama ndio unachotaka!
 
hapa naona unalazimisha kupendwa kwa maneno wewe.........kwa upande mwingine naona kama umemchoka mkeo ila unamtafutia sababu ya kumletea mwingine.......na kama ungekuwa unampenda pia sidhani ungejitangazia kwamba umemwacha amenuna mpaka unaondoka nyumbani.......unatarajia ukirudi umkute anatabasamu akwambie "anakupenda" kwa upande wangu nadhani huyo mkeo anakupenda kwa dhati labda kununa kwake ni jinsi gani wewe unashindwa kuona na kufahamu anavyokupenda kutoka moyoni na sio kutoka mdomoni........na ukiendelea ivi hakika nakwambia mtaparanganya......suluhisho mwite mkae mueleweshane...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…