Aiseee that's too much,,, kama ni kila siku hapo naona shemej anamadai ya msingi ikiwezekana hata kuandamana kwa hili,, kumbuka wao wanafanywa na sisi tunawafanya so kunatofauti ya maumivu hapo,,,,imagine wewe ndio ungekuwa ni yeye na yeye akawa ni wewe bila shaka ungechoka kufanywa daily,, Fanya kumpumzisha mwana la sivyo utampoteza,