Habari wana jf wenzangu??, heri ya sikukuu ya eid kwa waislamu wenzetu.
Kuna tatizo linanitatiza kidogo kuanzia leo usiku ambalo limempata mke wangu
Mke wangu ni mjamzito wa mwezi mmoja, kuanzia jana kila tukifanya tendo hutokwa na damu kiasi hali ambayo hupelekea uume wangu kutapakaa damu
Nikaona labda atakuwa ana michubuko lakin hana kwasababu ameshajichunguza vya kutosha ukeni, na zaid nikaona labda ni hali ya kawaida tu basi asubuhi ya leo tukafanya tendo ila hali ya damu iko vile vile
Sasa napata mawazo labda ujauzito umeharibika kwaio damu huvuja
Nisaidie juu ya hili tatizo ma doctor wa jf please napata wasi wasi sana
Siku njema